Research ya wasichana wa Tanzania

Research ya wasichana wa Tanzania

Vp kuhusu kuruka ukuta mkuu?? Nasikia wazenji ni maabingwa..!

hatuna kawaida hiyo msituharibie sifa kwa kusoma tabia ya mtu mmoja.
 
it seems una shida na wasukuma... ulipoona ya uchafu haijakubalika, ukaibuka na sifa nyingine. By the way, wewe ni kabila gani?
vinine nikufahamu kwanza wewe
 
Last edited by a moderator:
Leta sifa ya wajita,ingawaje hizi tabia unazoorozesha si za watu wote katika kabila lote.
 
kwan tanzania kuna makabil mangapi? maan haya mengin ndo kwanz nayaskia
 
hawatumii zaidi ya wanachoingiza, 2) wanaheshimu akiba za waume zao kiasi kwamba mwanamke wa Kikinga yupo tayari kufa na njaa lakini asiguse akiba ya mme wake.....uchawi na ushirikina ndio dini yao kubwa...wana nidhamu kubwa mno ya matumizi ndio maana wengi wamebatizwa jina la "mabahiri" ila ni mazuzu wa ngono wakikunwa vizuri mwamke wa kikinga kuhonga hela ya bure bure ni kawaida sana ushamba ni asili yao pia!

Khaaaa mbona mi sijawahi kuhonga
 
by Rubi.;
Sukuma umewasingizia kwenye uchafu. Hyo sifa peleka kwa wagogo bana. Msukuma msafi ila anadharau yaani ni masikini jeuri anaishi nyumba ya tope lakini kwenye kuvaa humkamati.


Rubi hapo wewe mwenyewe unadanganya, wasukuma kwenye Utupiaji wa swaga ni BIG 0, Hawajui kwenda kabsaa na fashion hata kidogo,
wapo outdated saaana, wanapenda kutupia nguo zenye mng'aoooooo saaaaaana!

i know them naishi nao huku mwanza!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom