Nimekuwa napenda sana kupost na pia kusoma threads nyingi za jamii forums.Threads zinaletwa na vijana wengi, utaona kabisa zinakosa uzalendo wa taifa lao.
Hii ina maana kuwa mtu anapost thread akiamini kuwa ni nzuri kumbe inaonyesha wazi udhaifu wake mkubwa katika kufikiria na kufahamu. Mfano Mtu anapost thread kuwa ,Maalim Seif kiingereza chake si kizuri.
Au Maalim Seif ni mwepesi katika lugha ya kiingereza. Nataka niwaambie vijana kuwa Maalim Seif kuongea kiingereza cha kawaida, ni kwa sababu yeye si mwingereza.Yeye ni mtanzania. Na Maalim Seif alitalikiwa aongee kiswahili,na kuwe mkalimani.
Kumbukeni, miaka ya nyuma alikuja Rais wa China, hakuongea kiingereza. Aliongea kichina na kukawa na mkalimani.
Napenda kuwaambia kuwa, udhaifu mnaouonyesha kwa kuwadharau viongoz wenu kuwa hawajui vizur kiingereza ni udhaifu mkubwa ,na inaonyesha bado mna kansa ndani ya vichwa vyenu. Kansa ya ukoloni.
Nimalize kwa kuwambia kuwa ,mataifa yaliyoendelea mengi yanatumia lugha yao,na yanajivunia lugha yao.
Anayejua kiingereza ni mwingereza na si mtanzania, mhindi, muitaliano nk.