meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Mkuu hivi ni kwanini mtu ukiweka Uzi wenye kumshauri au kumkosoa zitto kwenye jukwaa la siasa mods wanaunyofoa fasta kuna Siri gani?Kuna jamaa yangu mwanaccm amenitonya kuwa kuwa Zitto Kabwe anaweza kuteuliwa kuwa waziri ikiwa ni fadhila ya kuhujumu chadema,
Iwapo chadema haitamvua uanachama jambo hili litakuwa rahisi.
Iwapo chadema itamvua uanachama basi kuna mambo mawili,moja ni kumteua kuwa mbunge halafu waziri na pili ni kumfanya mbunge wa mahakama.
Hili swala litategemea sana na timing ya chadema kutoa maamuzi dhidi ya usaliti wa Zitto
Tusubiri tuone!
Mods msifute kama mlivyofanya kwenye jukwaa la siasa.acheni wadau wafikirishe akili!
haya bwana vema iwe, awe ameondoa sintofahamu maana kila kukicha mara mbowe , zitto , uraisi unawagombanisha kumbe mmoja ana lake jambo
ndiyo mana tupo katika forum , wehu wapo, wazima pia ni kuvumiliana tuSasa kwanini thread kama hii isitupwe kule?? mtu anakuja na kuanza kubwabwaja ati ''kuna jamaa yangu mwanaCCM kanitonya blah blah..''....then wote tuaminishwe kwamba hii ni habari? haifai hata kuwa tetesi
Inategemea na upeo wako wa kufikiri!Sasa kwanini thread kama hii isitupwe kule?? mtu anakuja na kuanza kubwabwaja ati ''kuna jamaa yangu mwanaCCM kanitonya blah blah..''....then wote tuaminishwe kwamba hii ni habari? haifai hata kuwa tetesi
we lazima utakuwa memkwa yaani umejua kusoma na kuandika tu
Kuna jamaa yangu mwanaccm amenitonya kuwa kuwa Zitto Kabwe anaweza kuteuliwa kuwa waziri ikiwa ni fadhila ya kuhujumu chadema,
Iwapo chadema haitamvua uanachama jambo hili litakuwa rahisi.
Iwapo chadema itamvua uanachama basi kuna mambo mawili,moja ni kumteua kuwa mbunge halafu waziri na pili ni kumfanya mbunge wa mahakama.
Hili swala litategemea sana na timing ya chadema kutoa maamuzi dhidi ya usaliti wa Zitto
Tusubiri tuone!
Mods msifute kama mlivyofanya kwenye jukwaa la siasa.acheni wadau wafikirishe akili!
Wafikirishe nini Mbea mkubwa wee!,sasa akiteuliwa wewe ina ---- nini, ndio myimyi mnaotembea nasumu sio, Hakuna suala la kulipa fadhila hapo, Kiongozi yoyote makini hawezi kuachia kipaji alicho jaaliwa nacho ZZK, hataukichukia huo ndio ukweli, Mnazani waTZ wanasikiliza hizo propaganda zenu.