I was looking around, nimegundua wanachit chat ndiyo wana reputation power nyingi sana compared na member wa
Majukwaa mengine..
Wengi wamefikia million wachache sana wamevuka 10million..
My self i got Rep Power : 7535631..
kuna vichwa vingine hapa..
kiwatengu Rep Power : 14808809. (nadhani atakuwa wa kwanza)
farkhina Rep Power : 11342801 (nadhani atakuwa wa pili)
MziziMkavu Rep Power : 10782321 (bila shaka ni wa tatu)
kuna alizidi hapo?
mi kwani nina ngapi? kwa simu hazionekani
Mwee mie ndo sijui maana ya hiyo aise
mpenzi ndiyo maana huwa nakuwekea afu hurudishi eeh
Mtoto wa kike na haka kamvua hulali? Hebu njoo hapa kanisani misa ya kwanza nikufanyie maombi.
niko sahihi Kiwatengu yuko mbele zaidi ya BAK na Arushaone.
hata Farkhina na mzizimkavu wako mbele zaidi afu Excel atakuwa wa 4.
Unakazi ya kunielewesha mpaka iingie
nipeni na mimi....