Reposted: huyu ni baba

Kama ni hapa kwetu huyo anatakiwa atafutwe na akamatwe,hicho anachokifanya ni sawa na kumnajisi mtoto
 
Na wewe ulikuwemo chumbani wakati mtoto anafurahia. Au ulihadithiwa na mtoto mwenyewe
 
Aisee tatizo la kuwa na Baba wasela
 
Sweet as mother's milk....hahahaaa huyo jamaa amekosea sana ku-spliff akiwa na mtoto.

Herb is necessary man....kwa ambao hawajui ....most beautiful butterflies eat marijuana
 
tusishangae sana, huenda ni tamaduni kama yuko mataifa mengien kama Jamaica

culture is the totoal way of life..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…