Tangu nilivyojua mafanikio ya Bob Marley yametokana na hii kitu[emoji1] [emoji1] nimepata faraja sana. Wachawi wote walishindwa kumroga bob ndo maana mziki wake haupotei
Kuna mshikaji alikuwa anauza na kuchoma humo humo ndani. Alikuwa na mtoto mdogo wa mwaka na miezi kadhaa, ikatokea mke wake kaenda kwako, huwezi amini mtoto alikuwa mnyonge kama mgonjwa. Siku wamerudi Dar, baada ya baba yake kujilipua chumbani, unaambiwa mtoto alipona ghafla na kuchangamka kupita kiasi.