Reporter wa BBC apotosha makusudi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Reporter wa BBC apotosha makusudi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kiziza, Jul 18, 2012.

 1. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimesikiliza BBC matangazo ya jioni,reporter wao kutoka Dodoma akasema kuwa Bunge limehairishwa baada ya wabunge wa kutoka Zanzibar kutoka nje ya bunge, badala ya kusema wabunge wa kutoka Zanzibar na wabunge ws upinzani,na mpaka mwisho hawakufanya masahihisho yoyote, ushabiki sio mzuri wakati watu wote tumeona.
   
Loading...