Much respect to Aly Kiba.
Kiukweli wimbo ni mzuri sn na una ujumbe mzur ndani yake. Ni wasanii wachache sana wanaowea kutoa wimbo usio wa mapenz na uka-hit kias hiki. Diamond ji msanii mzuri sn, ila kuimba wimbo usiokuwa na msg ya mapenz ukabamba ni ngumu sn kwake.
Hongera sn Aly Kiba, kwangu mm yo the best. Ungekuwa una management nzuri km ya huyu mwenzio ungekuwa mbali sana zaid ya hapo ulipo. Hongera kwa jitihada zako na ucbweteke ongeza bidii. One love.
mkuu Wallet tatxo lako huelewi tu..
ali habani pua ila ile ndio saut yake original,kama unabisha jarbu na wewe kubana pua uone kama saut itatoka nzur vile..
mkuu Wallet tatxo lako huelewi tu..
ali habani pua ila ile ndio saut yake original,kama unabisha jarbu na wewe kubana pua uone kama saut itatoka nzur vile..
na wewe umeliona hilo sio?? nilishasemaga tena mimi jamani nguvu zinazotumika kunyanyua kiba zina uwezo wa kuuhamisha mlima kilimanjaro ukaja hapa dar, watu wamejitoa mhanga kumbeba kiba, lakini ndio hivyo tena kijana amekuwa kama gunia la misumari.
eti ndio msanii mwenye vocal kali kuliko wote, si bora hata belle 9 na mavoko mara elfu nane, kiba sauti mwanzo mwisho inatokea puani, mdundo wa mwana na dushelele no tofauti, tutajieni upya sifa za huyu mtu, mnazotaja zimekuwa rejected sokoni, kuhusu ujumbe hata kwenye kanga upo, sisi tunataka vitu vitamu. hapa ni mwendo wa mdogomdogo tu mwana apite hivi.........