Kiba anapotezwa na washabiki wake, wenyewe wanamdanganya kuwa hapo halipo kashafika. Anachosubiri ni kufanya video nje then. baada ya hapo kila mtu atamjua duniani.
Anasafari ndefu sana maana iyo mwana ata promotion haijulii au anapuuza kuifanya inavyotakiwa kwa kigezo ye anakubalika bila promo. Aaangalie Kitorondo watu wanaiponda ila wakiwa peke yao wanaiimba mpk wakioga bafuni ikipigwa kwenye maoccasions wanaishangilia,na hawajui kwa nini inakuwa ivyo imewaingia.
Diamond anavaa kistaa, ukimuona stejini unakubali uyu ni yule ninayemsikia yani ana-meet expectations. Kiba hayuko simpo ila yupo local ungemuona fiesta ya juzi juzi ungeshangaa, yani kavaa jacket sio jacket ma american buti yamepauka nywele hazijaandaliwa yani unakuta shabiki yupo smart zaidi yake sasa kwa nini wasimchukulie poa ata aimbaje .