Ndio nini,?
Huku kwetu manzese ni kama tangazo sasa!radio,sim,tv zote ni mwana dsm!!Kiba kaua sana mule..Vp kwenu huko?Tupe report..
Habare ya mjinii kitorondo
Sijafahamu hasa.....
We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana.
Mwana Dar es Salaam mwisho Chalinze.
Habare ya mjinii kitorondo
Itakuwa bado iko kwenu manzese tu, wala mjini haijafika
Ndio nini,?
Hilo jina lako mmmmm! Mashaka.....
kitorondo ndo nini
Ndio habari ya mujini
Hii nyimbo sasa imeshakuwa kero sasa ni kama nyimbo ya Taifa.