Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 2,257 Reaction score 373 Mar 16, 2013 #1 Ndugu zangu wa Bongo naomba mnisaidie, Renault Megane kama hii inaweza kuuzika kirahisi huko? Spares na services zake zinapatikana kirahisi? Ikiwa manual itakuwa ni tatizo kupata mnunuzi?
Ndugu zangu wa Bongo naomba mnisaidie, Renault Megane kama hii inaweza kuuzika kirahisi huko? Spares na services zake zinapatikana kirahisi? Ikiwa manual itakuwa ni tatizo kupata mnunuzi?
next JF-Expert Member Joined Nov 2, 2007 Posts 604 Reaction score 185 Mar 16, 2013 #2 mdau, huku kuna renault tractor heads tu, nazo ni chache sana, binafsi sijawai kuona saloon car au suv ya renault hapa dar
mdau, huku kuna renault tractor heads tu, nazo ni chache sana, binafsi sijawai kuona saloon car au suv ya renault hapa dar
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,379 Mar 16, 2013 #3 Kwa Tanzania ni Toyota tu, watu wana hamu na magari ya aina nyingine tatizo liko kwenye upatikanaji wa spare tu
Kwa Tanzania ni Toyota tu, watu wana hamu na magari ya aina nyingine tatizo liko kwenye upatikanaji wa spare tu