Remmy Ongala: Nyimbo Tano Bora

1. Karola
2. Kipenda Roho
3. Kifo
4. Muziki Asili Yake Wapi
5. Sauti ya Mnyonge









Je wewe zako tano bora ni zipi?

i. Siku ya kufa
ii. Hamisa
iii. asili ya mziki
iv. dunia kwa heri
v. Mwanza
vi. Dodoma
vii. Carola
viii. Naludi Nyumbani

Aisee samahani nimevuka idadi ila hata hizo nilizoweka nataman nifute niweke nyingine... mzee wa mambo kwa Soksi alikuwa hatari!,
 
Kuna nyimbo yake moja miaka ya nyuma inaitwa "mambo kwa soksi " ilipigwa vita ,kisa inakiuka maadili sasa hivi matumizi ya condom na uzazi wa mpango unafundiashwa mpaka shule za msingi jamaa aliona mbali.
 
Mwl.RCT umenikuna napenda nyimbo za Dr Remmy
Uzuri wa hizi nyimbo za Dr. Remmy na nyimbo za zamani kwa ujumla
- Waweza sikiliza kila siku, wakati wote, na bado hazichoshi.
- Ni tofauti ni miziki ya sasa, ni vigumu kurudia mara mbili, tatu
 
Kidogo kidogo!! Ilitulia sana...kuanzia bass guitor, solo guitor, rythim guitor, drums, ...sauti za waimbaji....maudhui ya ujumbe wenyewe wa muziki...!!! Yaani walijipanga
 
Mziki asili yake ni bonge la wimbo , huo wimbo Acha kabisa , unanikumbusha mbali kdogo nikiwa kinda , nafata mandazi asubh ya kunywea chai nausikia ukipigwa RTD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom