FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Huyu jamaa alihusika kuniondolea my favorite rapper Tupac Amaru Shakur, afie mbali na akachomwe moto tu. Biggie Small, HIT THEM UP
Same here Tupac was my Favorite one
Huyu jamaa alihusika kuniondolea my favorite rapper Tupac Amaru Shakur, afie mbali na akachomwe moto tu. Biggie Small, HIT THEM UP
So unamfananisha na BIG au?
Wote walikuwa wasanii na wote waliuawa.
BIG alipigwa risasi, Steve 2k alichomwa kisu cha kukatia vitunguu.