Religion Leadership CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Biograph fupi ya Deogratius Kisandu.

Kuzaliwa: 28 Juni 1980. Nakuitwa jina "MASHAKA" hospitali ya wilaya ya kahama, shinyanga.

Kubatizwa: 28 Juni 1992.
Nakuitwa jina "DEOGRATIUS"
Parokia ya kahama mjini.

Komunio ya kwanza: 28 Juni 1992.
Parokia ya kahama mjini.

Kipaimara: 06 Novemba 1994 na Mhashamu hayati Askofu Matheo Shija.
Parokia ya kahama mjini.

UTUMIKIZI WA MISA KANISANI: 1995- November 2002: Jimbo katoliki la Kahama.

1995-2002: Mwenyekiti wa Vijana Rafiki WA Yesu WA Mtakatifu Fransisko WA Asizi(VIRAFRA) Jimbo katoliki la kahama.

July 1998-April 1999: Mwanafunzi wa Utawa wa shirika la Ndugu wadogo wa Afrika, Morogoro.

1999-2002: Mwanachama wa TYCS jimbo katoliki la kahama.

1992-2002: Nimeshiriki semina nyingi sana za dini na makongamano mengi sana ya kidini.

2014-up to dàte: Muimbaji wa Nyimbo za Injili.( kipindi cha nyuma miaka ya 2004 niliwahi kufanya mziki wa Bongofleva na kutoa album kwa jina la MASQO na iliitwa "Usiunyanyapae moyo wangu"

2015-2017: Mshiriki wa mafunzo ya Dini na mwanajumuia za KATEKESI jimbo katoliki la Mwanza.

Nawasilisha,

Deogratius Nalimi Kisandu.
 
Kisandu Kisandu:
Ndg uko sawa kweli!!!
Mbona nyuzi zako nyingi sizielewi?
Nimejizuia siku nyingi kuwa ktk nyuzi zako nisichangie chochote lkn leo nimeshindwa kuvumulia.
USHAURI WANGU KWAKO
1. Kama hujaoa, oa haraka inaelekea hili linakuathiri
2. Kama ulifanya uasi, tubu rejea kwa Muumba.
3. Kabla ya kuleta uzi, kaa chini fikiri hasa unalenga kutulisha nini chenye manufaaa
 
Mwanzo nilikuwa namtetea sana watu wakimponda lakini naona kuna tatizo siyo kawaida.
 
Kiwango cha elimu weka hapa tuone

ACADEMICS&PROFESSIONALS.

Hii ndio Biograph ya Deogratius Kisandu.

Kuzaliwa: 28 Juni 1980. Siku ya Jumamosi.

1990-1994: Shule ya msingi Sunge, kata ya Busoka, Kahama, Shinyanga. Darasa la i-v.

1995-1996: Shule la msingi kahama, kahama, Shinyanga. Darasa la vi-vii.

1997: Kidato cha kwanza, Magu sekondari, Magu, Mwanza.(Evening Class-ODL).Niliishia Form one tu.

July 1998-April 1999: Mtawa shirika la Ndugu wadogo wa Afrika, Morogoro. Niliishia hatua ya Uaspiranti tu(Utakaji) hivyo sikutunukiwa cheti zaidi ya Kitambulisho.

April 1999-2002: Form i-iv, Kishimba sekondari, Kahama, Shinyanga.(Evening classes-ODL).

Desemba 2002-2003: ASTASHAHADA ya Uandishi wa habari, Chuo cha Royal College of Journalism, Dar es Salaàm.

2004: Mwandishi wa habari wa kujitegemea.

2007: Ku attend mtihani wa Kidato cha sita katika kituo cha kufanyia mtihani cha sekondari ya wasichana Tabora.(Cheti cha kidato cha sita)

April 2007-Juni 2007: Induction course for secondary school Teachers, Chuo cha ualimu Tabora(Leseni ya kufundishia 2007-2012).

2007-2012: Mwalimu, Shule ya sekondari Mwamala, Nzega, Tabora.

2008: Kurudia mtihani wa kidato cha sita (resitter), Kahama sekondari.

2008: Msimamizi Mkuu, mtihani kidato cha Pili, Mogwa sekondari, Nzenga.

April 2009: Msahihishaji wa Mitihani ya Mock kidato cha NNE, kanda ya Magharibi, Tabora.(Somo la kiswahili).

2009-2012: Shahada ya Elimu Maalum(Ndani yake nimesoma Political Science and Public Administration), Chuo Kikuu kishiriki cha Tumaini Makumira cha Sebastian Kolowa(SEKUCo), kwasasa SEKOMU.

2013 up to date: Mwalimu, Shule ya sekondari Mkolani, Mwanza.

2013: Mafunzo maalum ya Gesi asilia na madini, Mwanza, TEITI.

2014: Muwezeshaji Kongamano la KATIBA Mpya, Mwanza.

April 2014: Mafunzo maalum ya mahusiano ya Ndoa na Uchumba, JRC, Mwanza.

2016: Semina ya kusimamia mtihani na kusahisha kidato cha sita, Mwanza.

2016: Msimamizi wa mitihani kidato cha sita, Ngaza sekondari, Mwanza.

2016: Mafunzo maalum ya Imani Takatifu ndani ya Kanisa Katoliki(KATEKESI), Mwanza.

2012-2016: Nimeshiriki semina zote za JUKWAA LA KATIBA kupitia taasisi yetu ya JUKWAA la Mwalimu na Wanafunzi Tanzania (Teachers and Students Forum Tanzania).

Niliposahau nitaleta mwendelezo,

Wenu wa karibu:

Ili ugombee urais lazima uwe na elimu ya digrii,kwa nini ulisoma TABORA GIRLS wakati wewe ni mwanaume
 
Mods huyu jamaa chunguzeni post zake kwa makini.Ana tatizo kubwa huyu kama kuna jamaa humu ndani anamfahamu na yupo eneo jirani naye awahi pale kutoa msaada.
 
Biograph fupi ya Deogratius Kisandu.

Kuzaliwa: 28 Juni 1980. Nakuitwa jina "MASHAKA" hospitali ya wilaya ya kahama, shinyanga.

Kubatizwa: 28 Juni 1992.
Nakuitwa jina "DEOGRATIUS"
Parokia ya kahama mjini.

Komunio ya kwanza: 28 Juni 1992.
Parokia ya kahama mjini.

Kipaimara: 06 Novemba 1994 na Mhashamu hayati Askofu Matheo Shija.
Parokia ya kahama mjini.

UTUMIKIZI WA MISA KANISANI: 1995- November 2002: Jimbo katoliki la Kahama.

1995-2002: Mwenyekiti wa Vijana Rafiki WA Yesu WA Mtakatifu Fransisko WA Asizi(VIRAFRA) Jimbo katoliki la kahama.

July 1998-April 1999: Mwanafunzi wa Utawa wa shirika la Ndugu wadogo wa Afrika, Morogoro.

1999-2002: Mwanachama wa TYCS jimbo katoliki la kahama.

1992-2002: Nimeshiriki semina nyingi sana za dini na makongamano mengi sana ya kidini.

2014-up to dàte: Muimbaji wa Nyimbo za Injili.( kipindi cha nyuma miaka ya 2004 niliwahi kufanya mziki wa Bongofleva na kutoa album kwa jina la MASQO na iliitwa "Usiunyanyapae moyo wangu"

2015-2017: Mshiriki wa mafunzo ya Dini na mwanajumuia za KATEKESI jimbo katoliki la Mwanza.

Nawasilisha,

Deogratius Nalimi Kisandu.
Huyu ndo binadamu ambae anajui anafanya nini wakati gani na mazingira gani, tuaache Muda uongee mkuu maana naona unakila sababu ya kuwa moja ya kiongozi bora nchini kwetu
 
Back
Top Bottom