Relief for Afrika

Relief for Afrika

FichaFicha

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
250
Reaction score
214
Habari za mchana wadau napenda kufahamu hii organization ipo kweli au ndio wale magumashi?Naomba kufahamu
 
Umeiona wapi
Wametuma email wanataka ulipie hela kwenye agency ambao wametoa link ili ufanye PAR then uwatumie hao relief for afrika!Sasa hii relief afrika ipo au ndio wale wale akina tuma dollar kadhaa
 
Wametuma email wanataka ulipie hela kwenye agency ambao wametoa link ili ufanye PAR then uwatumie hao relief for afrika!Sasa hii relief afrika ipo au ndio wale wale akina tuma dollar kadhaa
Toka nduki hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom