Reliable PC GAMES WeBSiTE

Reliable PC GAMES WeBSiTE

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
Kwa wale fellow gamers, hii website ya www.skidrowgames.net naona imetisha haswaa katika tasnia nzima yakutuwekea pc games nyingi tena ambazo zipo cracked. Aisee hawa jamaa wana games nyingine hata sijawahi kuzisikia. Mimi daily nikijiunga na wajanja night ni mwendo wakupakua magame tu. Kwa mfano saivi nashusha MASTERS OF THE WoRLD Geopolitical simulator 3 ambayo una act kama wewe ndio head of state unaamua mambo pamoja na Saints ROW IV Commander In Chief Edition. Jaribuni wakuu mnaopenda magame muone jamaa walivyocontain mambo ya hatari.
 
Salaam wakuu,
Kwa wale fellow gamers, hii website ya Skidrow Games - Crack - Torrent Download - Full Version PC Games naona imetisha haswaa katika tasnia nzima yakutuwekea pc games nyingi tena ambazo zipo cracked. Aisee hawa jamaa wana games nyingine hata sijawahi kuzisikia. Mimi daily nikijiunga na wajanja night ni mwendo wakupakua magame tu. Kwa mfano saivi nashusha MASTERS OF THE WoRLD Geopolitical simulator 3 ambayo una act kama wewe ndio head of state unaamua mambo pamoja na Saints ROW IV Commander In Chief Edition. Jaribuni wakuu mnaopenda magame muone jamaa walivyocontain mambo ya hatari.

mkuu unatumia link generator au unatumia username na password za host tupe njia jinsi ya ku download kamauna premium username na password tushushie
 
Da site ipo kamili.
23-08-2013 04-50-03.png
 
mkuu unatumia link generator au unatumia username na password za host tupe njia jinsi ya ku download kamauna premium username na password tushushie

Mkuu kudownload mbona ni. Free kabisa? Katika kila game wanayoweka either wanakupa link kadhaa za direct download eg. Easyshare,sendspace,megaupload etc. Kama umeinstall iDM basi ukifata link idm yako inakuprompt unaanza kushusha ila unaweza fanya kama mimi ambapo unatumia torrent, ili kushusha kwa uharaka zaidi.
 
Salaam wakuu,
Kwa wale fellow gamers, hii website ya Skidrow Games - Crack - Torrent Download - Full Version PC Games naona imetisha haswaa katika tasnia nzima yakutuwekea pc games nyingi tena ambazo zipo cracked. Aisee hawa jamaa wana games nyingine hata sijawahi kuzisikia. Mimi daily nikijiunga na wajanja night ni mwendo wakupakua magame tu. Kwa mfano saivi nashusha MASTERS OF THE WoRLD Geopolitical simulator 3 ambayo una act kama wewe ndio head of state unaamua mambo pamoja na Saints ROW IV Commander In Chief Edition. Jaribuni wakuu mnaopenda magame muone jamaa walivyocontain mambo ya hatari.
sijawahi kukutana na game kama hii,i like the idea itabidi niishushe baadae!!!
 
kwa wale wanaopenda car racing games na kucheza online basi download need for speed world,iko poa mno na unaweza kucheza online for free,kwa atakayekuwa intersted atembelee Introduction - Need for Speed World - Official EA Site
then niadd as a friend tushindane,nifuate chemba nikupe usernem yangu uni add as a friend tushindane,karibuni!!
 
jamani gamers wote tutengeneze utaratibu wa kushare hii mizigo badala ya kila mtu kudonwload simnajua tena mambo ya bundle... kwa mfano ukishushsa basi unaenda kuuweka 4share then kila mtu anaenda kunyonya kule.... just advice!!!
 
Mkuu 4share ukimaanisha nn?
 
Salaam wakuu,
Kwa wale fellow gamers, hii website ya www.skidrowgames.net naona imetisha haswaa katika tasnia nzima yakutuwekea pc games nyingi tena ambazo zipo cracked. Aisee hawa jamaa wana games nyingine hata sijawahi kuzisikia. Mimi daily nikijiunga na wajanja night ni mwendo wakupakua magame tu. Kwa mfano saivi nashusha MASTERS OF THE WoRLD Geopolitical simulator 3 ambayo una act kama wewe ndio head of state unaamua mambo pamoja na Saints ROW IV Commander In Chief Edition. Jaribuni wakuu mnaopenda magame muone jamaa walivyocontain mambo ya hatari.

Thanks mkuu , ngoja nijipange kwa ajili ya kuanza kupakua.
 
sijawahi kukutana na game kama hii,i like the idea itabidi niishushe baadae!!!

Mkuu jaribu, utaipenda. Bongo imo humo pia, ila tatizo utakoma na migomo ya madaktari na upuuzi mwingine kama huo.
 
Back
Top Bottom