zangu zimekatika basi halifiki..nilikuwa natumia za basi jekundu ila dogo alilitia mdomoni limeingia mate halifanyi kazi tena so nna kibasi changu cha kijani hapa mwenye reli zake naomba msaada ani pm angalau nifike safari..
Natumai nimeeleweka..(kwa wanaojua namaanisha nini)..