Rekodi mauzo kidigitali

Rekodi mauzo kidigitali

Ignas senkondo

New Member
Joined
Jul 31, 2019
Posts
2
Reaction score
1
Hujui Kama Biashara Yako Inakua au Inapoteza? Bizi Ina Suluhisho! 🔥

Habari mfanyabiashara!
Umewahi kufikiria ni mauzo mangapi umeyafanya leo? Umeshawahi kusahau deni la mteja? Au bidhaa zimeisha bila wewe kujua?
Usijali tena, Bizi: Rekodi Mauzo iko hapa kukuondolea changamoto hizo zote.

📱 Bizi ni nini?
Bizi ni app rahisi kutumia inayokusaidia kurekodi mauzo, kufuatilia bidhaa, madeni ya wateja, gharama zako, na kupata ripoti nzuri za biashara – moja kwa moja kwenye simu yako.

đź’Ľ Bizi Inakufaa Kama:
âś… Una duka la rejareja
âś… Unauza bidhaa mtandaoni (WhatsApp, Instagram, TikTok, Facebook)
âś… Una biashara ya jumla
âś… Una saluni, mgahawa, stationery, au biashara yoyote ndogo au ya kati

✨ Faida za Kutumia Bizi:
✅ Rekodi Mauzo Haraka – Hakuna tena kuandika kwenye daftari
✅ Angalia Stoo Yako – Fahamu bidhaa zilizobaki muda wowote
✅ Rekodi Gharama – Pata picha halisi ya faida yako
✅ Rekodi Madeni – Usisahau tena nani anakudai au unamkudai
✅ Ripoti Kamili – Tazama faida, mauzo ya kila siku, wiki au mwezi
✅ Weka Wafanyakazi – Dhibiti nani anaweza kufanya nini kwenye app
✅ Inapatikana Android, iPhone na Web – Furahia uhuru wa kuitumia popote

🚀 Kwa Nini Uchague Bizi?
✔️ Rahisi kutumia
✔️ Kiswahili kimepewa kipaumbele
✔️ Imetengenezwa kwa mazingira ya biashara za Tanzania
✔️ Huduma ya msaada inapatikana kila siku
🎯 Pakua Bizi Leo:
👉 Google Play Store and App store:Bizi app
👉 Web App: Bizi app

🌟 Biashara Yako Inastahili Kuwa Bora – Anza Na Bizi Leo!
Ukihitaji msaada, tutafute 0682492531
 
Back
Top Bottom