Rekodi huwekwa na kuvunjwa. Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na Spika wa Bunge aliyevaa itikadi

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
1,093
1,726
Rekodi huwekwa na kuvunjwa. Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na Spika wa Bunge aliyevaa itikadi ( Partisanship) kama Spika Ndugai. Spika huyu anakipendelea chama chake kuliko hata Mwenyekiti wa chama chake au hata kuliko Katibu Mwenezi.

Nadharia ya uhuru wa bunge kama mhimili inatiwa doa la kihistoria kwa ukereketwa wa Spika huyu. Yule mchora katuni aliyechora kichwa cha spika au ubongo wake ukiwa na picha ya mkuu wa mhimili mwingine hakukosea. Spika huyu bila kujali madhara kwa mhimili wa bunge, anashiriki bila hofu mikakati ya kifitina kuwahujumu wote wanaoonekana wana msimamo tofauti na chama chake.

Ukereketwa ni sumu ya uhuru wa bunge. Kwa sasa spika ndiye bunge na bunge ni spika. Chaguo la wananchi kwa maelfu, linaweza kufutwa na kalamu ya spika dakika moja.
 
Anaogopa yasimkute yaliyompata spika samweli sita, hawakawii kusema ni zamu ya mwanamke, cheo cha uspika bado anakipenda.
Rekodi huwekwa na kuvunjwa. Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na Spika wa Bunge aliyevaa itikadi ( Partisanship) kama Spika Ndugai. Spika huyu anakipendelea chama chake kuliko hata Mwenyekiti wa chama chake au hata kuliko Katibu Mwenezi.

Nadharia ya uhuru wa bunge kama mhimili inatiwa doa la kihistoria kwa ukereketwa wa Spika huyu. Yule mchora katuni aliyechora kichwa cha spika au ubongo wake ukiwa na picha ya mkuu wa mhimili mwingine hakukosea. Spika huyu bila kujali madhara kwa mhimili wa bunge, anashiriki bila hofu mikakati ya kifitina kuwahujumu wote wanaoonekana wana msimamo tofauti na chama chake.

Ukereketwa ni sumu ya uhuru wa bunge. Kwa sasa spika ndiye bunge na bunge ni spika. Chaguo la wananchi kwa maelfu, linaweza kufutwa na kalamu ya spika dakika moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi umetafakari vilivyo kabla ya kutoa hili andiko au umekurupuka
 
lawama zote ziende India, ndo chanzo cha hii kero. kama ikitokea wakapata chance tena wafyatue tu nyaya hii spika irudi inakoroma (hakuna namna ni kuombeana mabaya tu) maana nao hutenda mabaya
 
Just lack of compassion kwa upande wa bunge

Mtu anaumwa unamfutia mshahara

Mwingine mkewe kajifungua anafutwa ubunge

Sio sawa kabisa
 
Back
Top Bottom