Acha uwongo wewe; kuna bendera ya Rais na bendera ya taifa. Kama ulikuwa hujui hivyo basi tunakufahamisha uelewe. Siyo kila ukiamka wewe kazi yako ni kulaumu Magufuli tu.
Unaiona hiyo bendera iliyo mbele ya Kikwete enzi zake?
Unaina hiyo bendera iliyo nyuma ya Mkapa enzi zake?
Duh! Je wahusika hawapo? Je Aliyechonga anajua nembo halisi? Watu wooooooooooote hao, hakuna aliyegundua hilo, na maposho makubwa wanayopokea ya mamilioni meengi hakuna aliyegundua? Mpaka mimi jobless ndio nigundue π€£π€£π€£
========================
UPDATE
========================
Inasemekana hiyo nembo isiyo na bibi na bwana na mlima Kilimanjaro haupo ni nembo ya Rais tu. Ipo kwenye bendera ya Rais. View attachment 2637045
========================
UPDATE
========================
Inasemekana hiyo nembo isiyo na bibi na bwana na mlima Kilimanjaro haupo ni nembo ya Rais tu. Ipo kwenye bendera ya Rais. View attachment 2637045
Nilitaka nikujibu hivyo kama ulivyofanya update! Huo ndio ukweli, Rais huwa na nembo yake na pia huwa na bendera yake kwa rangi anayoipenda! Naona maarifa yako ya jamii haikukupa vyote!
Nembo ya taifa ni miongoni mwa tunu za taifa; hata kama ni suala la rebranding utaratibu sahihi ukitakiwa uzingatiwe.
Kuna haja ya kutunga sheria ya kulinda tunu hizi kuepusha wenye mamlaka kujifanyia wapendavyo! Ikiwezekana iwe suala la kikatiba kama ambavyo Rasimi ya Warioba inapendekeza.