Yuko hapa anacheka sana.....Kwani yana matatizo gani?
Mme wangu yuko fiti huwa hasumbuliwi na maradhi madogo madogo km hayo bana!
Alafu ww mbona leo unajishuhulisha sana na familia yetu?
Amy yuko wapi?
amepumzika, nimetoka kumnunulia panadol, homa imempanda canta anamkanda na kitambaa kibichi labda itamshuka
Heshima yako Big sisy,
Wala huajakosea sisy wangu mambo ya siasa sasa yameshaisha,
Tuko bize sasa tutatafuta mji mzuri dunian ili nilijifungua tukapumzike huko lol!
Na mda huu ndio tunatoka kumwona Dokta then atapuzika kidogo na baadae atakuja kuwapa hi km kawa!!
Kwa uangalizi wa karibu wa mwanetu!!,Hivi Clinic gani mimba ya mwezi mmoja?
Yuko hapa anacheka sana.....
Halafu leo kaamu kuja ofcn kwangu kukaa nami muda wote kwa kuwa anafuraha....
@Amyner: Canta niko poa kabisa niko na sweetheart wangu Erickb52 tunafurahia ushindi......mpe hi Rejao
Hahahaaaaa aisee lol....
Basi utatuambia tukusaidie kumpatia jina zuri kama langu
Ndio maana Rejao hutoa povu kutetea magamba!
Kwa tukio la jana Arumeru lazma aumwe
Erick siku zote wako juu sana....Hahaha hahahha,
Wengi wenye hilo jina ni masharobaro na wanaringa sana,mbaya zaidi ni play boy lol!
Kamati kuu ya familia ndio itachagua jina la mtoto wetu lol!
Wala sitaki hilo jina kbs,Erick siku zote wako juu sana....
Kama mnampenda mtoto wenu mpeni jina langu muone atakavyokuwa kichwa
Cha mchana kitamu kama umeshinda
Lol
Kwanza kwa leo utashangaa hakitoki
ama kweli Kipenda Roho..naona dada yangu Canta...unajibu shutuma zote za Broda Rejao
Hahaha hahahha,
Wengi wenye hilo jina ni masharobaro na wanaringa sana,mbaya zaidi ni play boy lol!
Kamati kuu ya familia ndio itachagua jina la mtoto wetu lol!