Aaaah Babkey.....
Mwambie ajue....
Ila naamini atahamia CDM muda si mrefu maana presure itamuumiza sana
Canta ukienda clinic hakikisha na Rejao anachekiwa mapigo ya moyo....Mambo BW,
Naona B52 leo kamuamkia mme wangu,
Rejao wangu mzima kbs na jana alilala japo uchovu kidogo but he is fine!
Tulikesha kidogo but tulikua tunatafakari ni mji gani dunia utakuwa mzuri kwa mapumziko baada ya mie kujifungua!
Kule Arumeru tuna slogan mpya....Rejao anaijua....Kanta,
awali haikua kwenye ratiba yangu kushuti POLE yangu kwako/kwenu, but nilipotanabahi kwa kuona chungu ya Members WANAMIPENI POLE, ndo nikaona nisije kuonekana mi mchawi , hence
pOlEnI
Nimeona hata kule kwenye jukwaa la Kongosho alikuwa anatafutwa bila mafanikio....Mimi naomba atakaenionea kijana mtanashati anaejulikana kwa jina la PASCO tafadhali amjulishe anauliziwa kwa mapenzi tu ya dhati. Napita kila kona kumsaka bila mafanikio,inaniuma sana.
Shemu intake radhi aisee!Canta hayo ni maneno ya mkosaji....
Mambo ya Arumeru ndo kwanza yanaanza....
Karibu sana
Teh angalieni msijemuita mwanenu "CCM"Shemu intake radhi aisee!
Nyie endeleeni kwan na sie tuko bize sana mda huu,
Tunamwanandalia mwenetu mazingira tu ndio la muhimu kwetu kwa sasa ebo!!!
...pole Cantalisia. Mwambie mumeo CCM waliipenda ila CDM wameipenda zaidi.
Sijui atakuwa na hali gani...
Ngoja aende clinic kwanza then tujue ila sidhan kama anameleka Canta au anaenda kwa ajili yake
Kanta,
awali haikua kwenye ratiba yangu kushuti POLE yangu kwako/kwenu, but nilipotanabahi kwa kuona chungu ya Members WANAMIPENI POLE, ndo nikaona nisije kuonekana mi mchawi , hence
pOlEnI
Kwani yana matatizo gani?Canta ukienda clinic hakikisha na Rejao anachekiwa mapigo ya moyo....
Teh angalieni msijemuita mwanenu "CCM"
Hahahaaaa au "Mkapa"
Lol kwa ukumbusho muiteni jina "Arumeru"
Hahahaaaaa sawa shem....
Mwambie Rejao tuko pamoja ingawa mitizamo tofauti