Rejao thibitisha kauli yako.....Tatizo la Arumeru wachofahamu ni kijani tu! Kila kitu wanachotumia ni kijani! Vijana yale majani wanayoyatafuna yayotoka kenya nayo ni kijani pia!
So kesho CCM inashinda kwa kishindo!!!!
Canta anambembeza usiku kucha hajalala
Heshima yako Big sisy,Jamani Erick.... maisha sio Siasa tu, kwa taarifa isiyo rasmi shemeji yangu huyo leo anamsindikiza klinic mke wake Cantalisia mana wanahisi ndoa imejibu. Akimaliza hapo lazima atatia timu hapa!
BTW Hio kauli ya Rejao ni kweli, ila kumbuka kuna kitu kinaitwa Revolution, na that is what is happening....
Hahahaaa kaka tumeshachomoka.....B52 !
Kwanza niku'hongere ,
pili
nikwambie usipate shida kuwatafuta mahasimu wako mida hii, bado mapema sana! Huwezi wapata! Zodoko limelitanda!
Watu wazima nyuso zimewashuka .
Maeneo baadhi yana kelele za shamrashamra!
Na upande wa pili pako kimyaa!
Ni sauti za Bundi tu, ndiyo zisikikazo.
Hahahaaaa Ashadii mambo yanaenda huku yakibadilika....Jamani Erick.... maisha sio Siasa tu, kwa taarifa isiyo rasmi shemeji yangu huyo leo anamsindikiza klinic mke wake Cantalisia mana wanahisi ndoa imejibu. Akimaliza hapo lazima atatia timu hapa!
BTW Hio kauli ya Rejao ni kweli, ila kumbuka kuna kitu kinaitwa Revolution, na that is what is happening....
Canta hayo ni maneno ya mkosaji....Heshima yako Big sisy,
Wala huajakosea sisy wangu mambo ya siasa sasa yameshaisha,
Tuko bize sasa tutatafuta mji mzuri dunian ili nilijifungua tukapumzike huko lol!
Na mda huu ndio tunatoka kumwona Dokta then atapuzika kidogo na baadae atakuja kuwapa hi km kawa!!
i was bussy last nite passing through your posts.Jamani Erick.... maisha sio Siasa tu, kwa taarifa isiyo rasmi shemeji yangu huyo leo anamsindikiza klinic mke wake Cantalisia mana wanahisi ndoa imejibu. Akimaliza hapo lazima atatia timu hapa!
BTW Hio kauli ya Rejao ni kweli, ila kumbuka kuna kitu kinaitwa Revolution, na that is what is happening....
Heshima yako Big sisy,