Reinhard Bonnke, mmoja wa wahubiri wakubwa waliotikisa dunia, amefariki

Achana na mahubiri jamaa alikuwa na bonge la steji kitambo icho anatembea nalo kwenye roli kubwa dah alifika pale dodoma uwanja wa barafu,nikaokoka alivyoondoka nikawa kama mwanzo,, 1997
Kweli wewe baharia
 
Achana na mahubiri jamaa alikuwa na bonge la steji kitambo icho anatembea nalo kwenye roli kubwa dah alifika pale dodoma uwanja wa barafu,nikaokoka alivyoondoka nikawa kama mwanzo,, 1997
Mimi nukumbuka Bonke alivyokuja niliokoka kwa week 3 hivi alafu baada ya hapo nikaendelea na shuhuli zangu za ujenzi wa taifa.
Jamaa alikuwa na kipawa cha kipekee.
 
PUMZIKA KWA AMANI BABA INJILI UMEIMWAGA MBINGU ZIMETAMBUA YESU N BWANA
FB_IMG_1575753467911.jpg

Back
Top Bottom