Rehab ya kutongoza

Rehab ya kutongoza

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,521
Reaction score
6,517
Tafadhalini wandugu; nimekuwa mteja wa machangudoa kwa muda mrefu hadi nimepoteza zile mbinu za kumkabili msichana anayejishemu ili nimtongoze, kule kwa machangu ni kuuliza bei na si kutongoza.

Sasa nimechoka na machangu, kwani kwa machangu hukuna Mapenzi bali kuna Ngono, ila uzuri wa machangu condom ni lazima.

Sasa napata taabu jinsi ya kutongoza msichana wa kuwa mpenzi wangu maana zile mbinu kwishney, naashiwa kuliwa tu hela kwenye appointment bila kurusha neno la kumtaka, please nifanyeje?

In the alternative, kama kuna msichana wa kujitolea awe wangu tafadhali namuomba. Sifa, wowowo ni muhimu (sio lile kubwa saaana), mwembamba sana hapana, asiwe mweupe sana au mweusi sana, mengine yatajipa hukohuko.
 
Eeeebwanaaaeeee..! Ngoja nikufuate huko PM nianze kukutongoza mpaka ukae sawa..! Lol
 
Heee yan upge machangu hukoo sasa ndo utake anaejiheshimu unampataje!ngoja waje lakn nisikukatishe tamaa
 
ajiungamanishae na kahaba ni mwili mmoja na kahaba, endelea na makahaba ukimwi unataka umletee nani???

ungekuwa jirani yaani wewe lazima ungechezea bakora ... shit
 
Basi nifowadie mimi hiyo PM nimsaidie kujibu!!!:hug:

Hahahahaaaa..... Utaharibu bwana.! Maana nimetiririka balaa, najua hapo hawezi kuchomoka..!!
Sina hilo wo wo wo alilosema lakini kwa mistari niliyompiga lazima aingie kingi.. Lol
 
Hili nalo ni tangazo la biashara, tofauti na matangazo mengine ya biashara hili halijalipiwa airtime.

Pia huyu si raia wema kama wale wengine, kama mdau amegundua hilo kwanini asi-identify changu mmoja na kumpa ushauri mzuri waache kwa pamoja na kuwa mwili mmoja, yote yanawezekana tu kwani kuwa changu si kwamba hawezi kubadilika na kuwa raia mwema kama wengine (tatizo kwa mwanaume kisaikolojia anabalki demu alikuwa changu lakini kiukweli ladha yake inakuwa sawa tu na wengine ambao hawakuwa machangu)
 
Hahahahaaaa..... Utaharibu bwana.! Maana nimetiririka balaa, najua hapo hawezi kuchomoka..!!
Sina hilo wo wo wo alilosema lakini kwa mistari niliyompiga lazima aingie kingi.. Lol

Una Id ngapi? sijaona PM yako mbona?
 
ajiungamanishae na kahaba ni mwili mmoja na kahaba, endelea na makahaba ukimwi unataka umletee nani???

ungekuwa jirani yaani wewe lazima ungechezea bakora ... shit

Sawa ndugu, heri ya wewe uliye bikira mpaka sasa!
 
Hahahahaaaa..... Utaharibu bwana.! Maana nimetiririka balaa, najua hapo hawezi kuchomoka..!!
Sina hilo wo wo wo alilosema lakini kwa mistari niliyompiga lazima aingie kingi.. Lol

Sasa huoni hapo unajaza maji kwenye gunia mamii...try me pipa!!!:whoo:
 
Sasa huoni hapo unajaza maji kwenye gunia mamii...try me pipa!!!:whoo:

Weka thread yako na wewe ushindane nae kama vipi!

Ila mambo ya wowowo usitaje bwana, wengine tumepigwa pasi ya haja..!!
 
Tatizo ulilonalo nilikua nalo miaka 2 iliyopita yaani mimi kama wewe zangu ni machangudoa hakuna sehemu sijaenda kuanzia kinondoni makaburini, ambiance sinza, kimboka buguruni,makumbusho ,komakoma mwananyamala,shivacom arusha, nikiwa nimefulia naenda hata kambi ya fisi manzese kule ni buku mbili tu...
Taratibu nilianza kuchukua hicho kitendo nikaacha ila kampan nayo huchangia koz ili ujue sehemu zote hapo juu mmmmhhh si mchezo
amua utaweza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom