Regulations mpya za UDOM zinarudisha nyuma elimu ya Tanzania tutegemee watoto wengi kudisco mwaka huu

L004

JF-Expert Member
Oct 30, 2017
200
182
Regulations mpya za CHUO KIKUU CHA DODOMA zinatisha kiasi kwamba zinaweza kusababisha vijana wengi kurudi nyumbani, hivi sasa mwanafunzi kama hajafikisha coursework ya 16 (college zingine) na 25 (college ya Health sciences) hawatafanya mtihani wa somo husika hivyo itamfanya liwe carry, na nyingine soma hapo kwa attachment (highlighted)

ud.JPG
udom.JPG
 
Kwahiyo ukishindwa kufikisha course work masomo matatu ndo umedisko??@au
 
Acheni kulia lia.aisee.

Hivi mnakijua chuo kikuu Ardhi pale pembeni ya UDSM.

Kile chuo ni shida kuanzia kozi zake mfano Architecture,Geomatics, interior design,URP, Building economics , civil engineering , environment engineering nk nk walimu wake mpaka muonekano wake.

Yaani course work ndogo hivyo unalialia ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka umeenda kusoma pale, na sio kupaka ma-make up yenu pale. Jitahidii, hakuna namna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo unaongea bila kujua kiundani, inafika mda mnakomaa lakini course work zaidi ya robo tatu hamfikii 16, pepa zinaletwa konk
#Nilishawahi kupata sup course moja mwaka wa tatu, nimeenda kule sikuona tofauti Kati ya chuo kinavyofunguliwa na sup
 
Back
Top Bottom