Registration ya TCU, sehemu ya voucher unajaza nini, msaada please

FUHRER

Member
May 29, 2013
87
637
Shikamoni wakubwa, kama kawaida yetu naomba msaada fasta computer kabla haijazima, nilikuwa naregister TCU kuna sehemu imeandikwa voucher naomba kujua unajaza nini. Nimehisi ni hela je unalipa kwa mpesa kama HESLB?
 
umekimbilia tu kujaza form umesoma guidebook kweli? ukikosea umlaumu nani? muwe mnasosma instructions kwanza.... Kadi unanunua benki ila cjui benki gani kati ya crdb au nbc umesikia kuwa serious
 
nimesikia kaka kesho ngoja niende mlimani city kununua hiyo kadi au kuna mtu anauza humu nimtumie hela kwa mpesa?
 
nunua scratch card toka NBC kwangua hiyo card kama unavyokwangua top up card ya kuongeza salio la maongezi ya simu. namba zinazojitokeza ndo unazijaza hapo palipoandikwa voucher. LAKINI KWANZA ZINGATIA ULIVYOSHAURIWA NA Dreson3. kadi ya TCU bei ni NUSU LAKI!!!!!.
 
nimesikia kaka kesho ngoja niende mlimani city kununua hiyo kadi au kuna mtu anauza humu nimtumie hela kwa mpesa?

Utaliwa!! kwa nini usiende kupata hiyo kadi toka official source - mambo ya michoromichoro itakufikisha mahala si penyewe
 
Back
Top Bottom