Registered to.....

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Unakuta used computer zinazouzwa Kariakoo zime kuwa registered kwa first owner, inawezekana kuibadilisha iwe kwa jina lako bila ku install operating system upya?
 
Kubadilisha jina la owner kwenye kompyuta ni rahisi ila ni hatari kuagizia mtu kwa sbb inabidi uingie registry. Registry imejaza data za kuendesha kompyuta na mtu ukifanya kakosa kadogo tu kompyuta inakwenda arjojo. Ndo maana siwezi kukueleza namna kwenye hii thread mpaka labda ningekuwa naishi mji unamoishi. Mafundi wa kompyuta wanajua hii. Wajaribu hapo ulipo.
 
Sijaelewa what do you mean by jina la owner. Do u mean computer name au login account au nini hasa. Kama ni account badala ya kubadili, u can create a new one for u na baadae ukadelete the privious. Computer name can be changed as well. Any ways i dont know exactly what u want to achieve
 
Back
Top Bottom