Reginald Mengi na vyombo vyake vya habari na makapi ya CCM kaingia cha kike

Reginald Mengi na vyombo vyake vya habari na makapi ya CCM kaingia cha kike

TataMadiba neno zuri ninaloweza kukupa ni ndoroobo.
Tazameni hii picha kwa makini sana wapendwa. Itakuwa imepigwa wakiwa wapi? Pesa kitu kibaya sana. Kumbe kuhama kwa Makapi ya CCM kwenda CHADEMA kuna mkono wa Reginald Mengi. Agizo kubwa kutoka kwa Mengi kwenda vyombo vyake vya habari, ni lazima vihakikishe vinayatangaza haya Makapi, haijajulikana nini kilichoko nyuma ya pazia.

Ila naamini MENGI, LOWASSA na haya MAKAPI wote wameaingia cha kike.
Mengi atambue kuwa nyuma ya Lowassa kuna Rostam Aziz, mbaya wake namba moja katika biashara, Lowassa naye atambue Chadema ina wenyewe na wanajua madudu ya hao Makapi wenzake.

Lembeli kawafanyia nini watu wa Kahama, si aliona taa nyekundu ya kukatwa ndiyo maana akaamua kukimbia? MNGEJA tayari NAPE kishatolea ufafanuzi wa sababu za yeye kutimka kuwa ni baada ya CCM kumkata binti yake, lakini sababu nyingine kwa faida ya wote, Lowassa anagharimia ujenzi wa Gorofa la huyu mzee ambalo litatumika kama Hoteli pale Shinyanga. Masha ni wa kuhurumia kabisa, kila alikopita kafeli kabisaaa,siyo ubunge , uwaziri n.k ana jipya gani?

Atapewa nafasi ipi kweli safari ya uhakika iwe ya uhakika kweli?

Makongoro Mahanga mpaka leo anakaa Segerea kwa shida wananchi wamemchoka,si juzi tu walitaka kumpiga mawe?

Wamchague kwa lipi?

yaani waendelee kula sumu?

Nasema wote MENGI, LOWASSA NA MAKAPI MMEINGIA CHA KIKE.

View attachment 276979
 
Masha ndio wakuhurumia kweli si alimbambika mwenziwe kesi ya kuwa sio RAIA au wana cdm mmesahau?mi nadhani kuna kitu kinatengenezwa wanna cdm halisi jiangalieni
 
Huu msemo hua siuelewagi.
Kwan mwanaume akiingia choo cha kike atashindwa kukojoa?!
Mi nilidhan mwanamke akiingia cha kiume ndo atashindwa sababu ya zile sink.
 
Mtoa mada kuanzia leo elewa kwamba watanzania (makini) hawaitaki ccm, so hata mmchafue Lowasa kwa matope ya aina gani, ni huyohuyo ndio tutakayempa kura zetu! So stop wasting your precious time, hakuna chochote mtakachofanikisha kwa upuuzi wenu huo. Waambie na wenzako.
 
Mkuu jisemee mwenyewe maana waswahili husema rohoni kwa mtu mbali
 
Masha ndio wakuhurumia kweli si alimbambika mwenziwe kesi ya kuwa sio RAIA au wana cdm mmesahau?mi nadhani kuna kitu kinatengenezwa wanna cdm halisi jiangalieni
Kama mtu anaweza kuua na Mungu akamsamehe, sembuse CHADEMA acheni chuki nyie watu
 
Tazameni hii picha kwa makini sana wapendwa. Itakuwa imepigwa wakiwa wapi? Pesa kitu kibaya sana. Kumbe kuhama kwa Makapi ya CCM kwenda CHADEMA kuna mkono wa Reginald Mengi. Agizo kubwa kutoka kwa Mengi kwenda vyombo vyake vya habari, ni lazima vihakikishe vinayatangaza haya Makapi, haijajulikana nini kilichoko nyuma ya pazia.Ila naamini MENGI, LOWASSA na haya MAKAPI wote wameaingia cha kike.Mengi atambue kuwa nyuma ya Lowassa kuna Rostam Aziz, mbaya wake namba moja katika biashara, Lowassa naye atambue Chadema ina wenyewe na wanajua madudu ya hao Makapi wenzake. Lembeli kawafanyia nini watu wa Kahama, si aliona taa nyekundu ya kukatwa ndiyo maana akaamua kukimbia? MNGEJA tayari NAPE kishatolea ufafanuzi wa sababu za yeye kutimka kuwa ni baada ya CCM kumkata binti yake, lakini sababu nyingine kwa faida ya wote, Lowassa anagharimia ujenzi wa Gorofa la huyu mzee ambalo litatumika kama Hoteli pale Shinyanga. Masha ni wa kuhurumia kabisa, kila alikopita kafeli kabisaaa,siyo ubunge , uwaziri n.k ana jipya gani? Atapewa nafasi ipi kweli safari ya uhakika iwe ya uhakika kweli? Makongoro Mahanga mpaka leo anakaa Segerea kwa shida wananchi wamemchoka,si juzi tu walitaka kumpiga mawe? Wamchague kwa lipi?yaani waendelee kula sumu? Nasema wote MENGI, LOWASSA NA MAKAPI MMEINGIA CHA KIKE. View attachment 276979
wewe kauzu kweli kweli?Kwani vyoo vya kike huingia wanawake tuu?Mafundi na wakaguzi ndio wanaingia tuu?Hata labour wanaome wapo...umewahi uliza zaoezi la kukuzaa alilifanya nani na kwa namna gani?
 
Masha ndio wakuhurumia kweli si alimbambika mwenziwe kesi ya kuwa sio RAIA au wana cdm mmesahau?mi nadhani kuna kitu kinatengenezwa wanna cdm halisi jiangalieni
wabongo wa kuwa makauzu..unatoa ushuri km huna jukumu ktk hii nchi...
 
Back
Top Bottom