TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,878
- 5,765
Tazameni hii picha kwa makini sana wapendwa. Itakuwa imepigwa wakiwa wapi? Pesa kitu kibaya sana. Kumbe kuhama kwa Makapi ya CCM kwenda CHADEMA kuna mkono wa Reginald Mengi. Agizo kubwa kutoka kwa Mengi kwenda vyombo vyake vya habari, ni lazima vihakikishe vinayatangaza haya Makapi, haijajulikana nini kilichoko nyuma ya pazia.
Ila naamini MENGI, LOWASSA na haya MAKAPI wote wameaingia cha kike.
Mengi atambue kuwa nyuma ya Lowassa kuna Rostam Aziz, mbaya wake namba moja katika biashara, Lowassa naye atambue Chadema ina wenyewe na wanajua madudu ya hao Makapi wenzake.
Lembeli kawafanyia nini watu wa Kahama, si aliona taa nyekundu ya kukatwa ndiyo maana akaamua kukimbia? MNGEJA tayari NAPE kishatolea ufafanuzi wa sababu za yeye kutimka kuwa ni baada ya CCM kumkata binti yake, lakini sababu nyingine kwa faida ya wote, Lowassa anagharimia ujenzi wa Gorofa la huyu mzee ambalo litatumika kama Hoteli pale Shinyanga. Masha ni wa kuhurumia kabisa, kila alikopita kafeli kabisaaa,siyo ubunge , uwaziri n.k ana jipya gani?
Atapewa nafasi ipi kweli safari ya uhakika iwe ya uhakika kweli?
Makongoro Mahanga mpaka leo anakaa Segerea kwa shida wananchi wamemchoka,si juzi tu walitaka kumpiga mawe?
Wamchague kwa lipi?
yaani waendelee kula sumu?
Nasema wote MENGI, LOWASSA NA MAKAPI MMEINGIA CHA KIKE.