Reginald Mengi kugombea Urais

Wakuu ! Ni haki kubishana kwa post ambayo ni tetesi isiyo rasmi ?

Watanganyika kwa mwaka huu 2015 HATUDANGANYIKI NG'OOH
 
Ukimsimamisha mengi na mpoki kugombea urais,mpoki wa ze komedi anashinda kwa zaidi ya 90%.

Ukimsimamisha mengi na jiwe au mti,mti utashinda kwa asilimia 80,mengi 5,15 zitakua zimeharibika.

Ukimsimamisha mengi na mnyama yoyote kama mbwa,paka,punda,kenge au fisi,mnyama atashinda kwa asilimia 75,mengi 10,zingine zitaharibika.

Ukimsimamisha mengi na wadudu kama nzi,mbu,nge,mbung'o,wadudu watashnda kwa asilimia 65,mengi 25.

Ukimsimamisha mengi na magonjwa kama ukimwi,ebola,mafua ya ndege,bonde la ufa,nguruwe,kifua kikuu,magonjwa yatashnda kwa asilimia 55,mengi 35.

Heri kuishi na ukimwi kuliko mengi kua rais.
 
Hivi safari hii mtamuweka Mbowe agombee? kwi kwi kwi kwi.

Kwanza vigezo vipya vya mpaka awe na degree hajatimiza.

Hivi nikuulize vigezo vya Urais wanataka mgombea awe na shadaha walau moja. Ki taaluma Mengi hana shahada... ina maana atagombea kupitia zile za heshima anazopewa na vi-NGO,s??, je nazo zinahesabika kama za wanataaluma? Nijuze dada anga foxy.... teteteteteh wachaga siku hizi promo hata wahaya hawaoni ndani.
 
Hii tetesi haitakuja kuwa kweli

Reginald Mengi CCM damu

alimsaidie jk sana kuupata urais mwisho wa siku jk kamchinjia baharini hakumpa fursa ambayo aliitarajia
 
Ni haki yake kuchagua na kuchaguliwa karibu father.. Vote NO for katiba pendekezwa
 

Subiri ikishakuwa rasmi ndo uilete jukwaani
 
Last edited by a moderator:

Hiyo hamna mwenye nayo Tanzania nzima hii.
 

Kama kweli katangaza; tumwache watanzania watachambua mchele safi na pumba. Mungu anamjua mkombozi wetu! Hata kwa YESE walichujwa mpaka akapatikana DAUDI.
 
100% we ni professor muongo kuliko wote duniani ulitakiwa uwe kenge maji siyo binadam!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…