Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.
Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.
Atagombea kama anataka kufilisika.Taarifa zisizo rasmi zinadai ya kuwa mwenyekiti wa IPP Dkt. Reginald Mengi ana mpango wa kugombea uraisi mwaka huu wa uchaguzi 2015.
Japo haijfahamika wazi kuwa atagombea kupitia chama gani au mgombea binafsi.
Katika kipindi cha hivi karibuni Mengi amekuwa akionekana kuwa mwiba kwa serikali kupitia maneno yake zikiwemo tweets na kupitia vyombo vyake vya habari huku akisisitiza uzalendo na uwajibikaji.
BY: SUPU YA MAWE
Anza kuukana utanzania tokea sasa, mbona hata maduka la jirani yote ni ya kwao.Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.
wachaga tutampa kura zetu
Anza kuukana utanzania tokea sasa, mbona hata maduka la jirani yote ni ya kwao.
You are wrongly primed!
Huyu wa Kaskazini lazima apitie tikiti ya Chadema
Mtaani kwangu hakuna mchagga kabisa tena.
Aende zake akatumie WALEMAVU kutambika
Wewe unapenda siku moja mchagga awe rais?
Mimi nitajiua kabisa
Kwani ww bado raia? Katiba ya Tanzania haiwatambui ninyi diaspora mliozamia na kuolewa/kuoa vibabu/vibibi ili mpate kuishi huko:A S wink::A S wink:Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.
Mtaani kwenu kuzimu au?! Unawachukia, ila huna uwezo wa kuwashusha wachaga! Wako juu toka enzi na enzi!!!! Hakuna mtaa wala kitongoji kisichokuwa na mchaga. Muulize JK analifaham hilo. Nakumbuka aliposema, "ukifika mahali TZ hii ukakuta hakuna mchaga, basi hapo hakuna maisha". Kinachokutesa ni wivu tuu.
Kwani ww bado raia? Katiba ya Tanzania haiwatambui ninyi diaspora mliozamia na kuolewa/kuoa vibabu/vibibi ili mpate kuishi huko:A S wink::A S wink: