Reginald Mengi kuajiri Wahindi katika ngazi ya juu ya uongozi ya kiwanda cha Bonite Moshi ni kukosa Watanzania wenye uwezo?

Heshima sana wanajamvi,

Dr Reginald Mengi ni mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wazawa lakini jambo la kushangaza katika kampuni zake Bonite Bottlers top management yake yote kaajiri wahindi na si watanzania wenzake wazawa.

Nimeshangaa sana majuzi nilitembelea kiwanda chake za uzalishaji wa vinywaji baridi soda wahindi wamejazana ungfikiri uko Bombay je huu ni uzalendo ?.

Dr Mengi ebu tuambie umeshindwa kuwaamini watanzania wenzako katika ajira lakini hapo hapo unataka tuendelee kunywa soda za kampuni yako /.

kUANZIA LEO NIMESUSA KUNYWA SODA ZA BONITE BOTTLERS mpaka hali ya ajira itakabotazamwa upya,fikiria stores officer ni mhindi yaani huko Machame kwenu au Marangu Kibosho vijana wamejaa kibao bila ajira wewe unakwenda kutoa ajira Punjap

Dk. Mengi haamini katika ubaguzi anaamini katika tija, Naamini kazi zilitangazwa wenye sifa husika wakachaguliwa.
 
nini Bonite...fika hata The Guardian Ltd hali ndio iyo iyo,,,,,wabongo tupo smart tatizo ni hilo moja tuu...wizi na kurudishana nyuma...nilifika pia Serengeti hotel za Zara Tours wamejaza wahindi wabongo kazi zetu ni kusimamiwa tu maana tupo mrengo wa wizi,uzinzi,ulevi,name it all
 
Dk. Mengi haamini katika ubaguzi anaamini katika tija, Naamini kazi zilitangazwa wenye sifa husika wakachaguliwa.

Serious kazi zilitangazwa labda Bombay si Tanzania
 
HATA DUBAI WAMEJAA WAHINDI NDIO WALIOIJENGA DUBAIIKAWA HIVYO UNAVYOIONA KWAHIVYO MGEPELEKWA NYINYI BADALA YA WA HINDI ISINGEKUWA DUBAI INGEBADILIKA NAKUWA NYANJILINJI


Sent from my iPhone using JamiiForums
But America was designed by white and built by Black
 
Back
Top Bottom