Abeeee!,.....mzee Mengi its 2013!, they already ate this country, matter of fact they ate too much yamevimbiwa and now they're passing terrible odor gas!, cant think well
si EL pekee, [COLOR=#f0000]hata wake wanaojifanya wapanaji[/COLOR] nao sasa wamo
Huyu Mengi naye! Sijui huo usingizi anaouchapa ni wa aina gani! Amka Mzee Mengi, mafisadi walishatwaa madaraka kitambo, si unakumbuka ile 1st Eleven ya mafisadi iliyotangazwa Mwembe Yanga miaka sita iliyopita? Duh!Mwenyekiti wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amesema kwa hali ya kisiasa inavyoendelea ipo siku mafisadi wataongoza nchi kwa kuwa mpaka leo hawajachukuliwa hatua zozote za kuwakamata na kuwafungulia mashataka. Na serikali imekaa kimya
Mzee Mengi binafsi huwa nakuheshimu. Ila hapa sasa heshima yangu kwako imeanza kupungua kabisa. Wacha Unafiki simama hazarani kama siku za nyuma uliposimama bila woga na kututajia Mafisadi PAPA akiwemo MANJI.
Usimumunye maneno wataje hao mafisadi unao wahisi kuwa kuna siku wanaweza kutawala nchi. Si useme tu wazi kuwa Unamzungumzia LOWASSA kwani ndie tunaona akijitahidi Misikitini na Makanisani kujisafisha ili aweze kuwa rais 2015 huku wakati ni FISADI PAPA!!
Wadau wa jamii forum naomba mnifafanulie kuhusu ndugu Reg Mengi ambae ni mwkt wa IPP.Mbona anagombana na kila mtu hapa Tanzania. Je yeye ndiye mkorofi au hao viongoz wa serikali na watu binafsi?Amegombana na Masilingi. Rostam Aziz. Manji na sasa Mhongo. Je yeye ndiye mkorofi?
Wadau wa jamii forum naomba mnifafanulie kuhusu ndugu Reg Mengi ambae ni mwkt wa IPP.Mbona anagombana na kila mtu hapa Tanzania. Je yeye ndiye mkorofi au hao viongoz wa serikali na watu binafsi?Amegombana na Masilingi. Rostam Aziz. Manji na sasa Mhongo. Je yeye ndiye mkorofi?
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amesema kwa hali ya kisiasa inavyoendelea ipo siku mafisadi wataongoza nchi kwa kuwa mpaka leo hawajachukuliwa hatua zozote za kuwakamata na kuwafungulia mashataka. Na serikali imekaa kimya