sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,130
Ile miradi sio yao.Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Amesha changia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo. Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk? sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako. Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake. Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.
mkuu fafanua please washeli ndio niniBaka akitoa pesa kwa masharti asitangazwe ndio Dini yake inavyotaka... ila sifa yake hajawahi kwenda Mecca sababu anapenda washeli za wafanyakazi wake... Nenda home kwake pale Masaki nje kama klabu cha omba omba migao ya pesa kila siku
Kutoa sio lazima ni moyo tu usiwalaumuNimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga kuwa na huruma ya kuguswa na matatizo ya watu? Amesha changia sehemu nyingi tu zaidi ya hiyo. Hapa bongo tunao matajiri ambao tunakula bidhaa zao kila siku kama Bahresa na Mo Dewji na Manji. Hawa kazi yao ni kukusanya pesa tu lakini hakuna mrejesho kwa wananchi, mnatulisha masoda na majuice ambayo hayajengi afya bora zaidi ya kuleta magonjwa! kwanini basi msirudishe faida zenu japo sehemu kidogo kwa kusaidia sehemu zenye mahitaji kama shule, vituo vya afya nk? sijawahi kusikia hawa jamaa wamesaidia public au dini zao hawa zinafanana kwamba ukifanya biashara na kulipa kodi inatosha? kuna faida gani ya kuwa na tajiri namba moja kijana Katika Afrika ambaye hata maskini hawajivunii uwepo wako. Fedha nyingi hazileti afya wala long life, sioni necessity ya ku accumulate wealth kiasi kikubwa bila kuwapa nafuu maskini somewhere kutoka katika faida unazozipata kwenye biashara zako. Mengi angekuwa na biashara ndogo ndogo wallahi ningeamua kumuunga mkono kwa kuuza bidhaa zake. Bidhaa za Mo na Azam zimejaa kila kona nchini, lakini mrejesho hakuna zaidi ya ule wa kiuchumi kwamba ametengeneza ajira. Hawa matajiri wengine wanaona kitu cha maana kuchangia kwenye michezo kuliko kugusa roho za watu. Kwa kweli Mzee Mengi anapaswa kuungwa mkono kwa kila jambo.
Mkuu kwenye kutoa kuna mambo mawili, kuna wanaotoa kwa kutafuta sifa mbele ya jamii ili wakubalike. na ambao wanatoa kidini (ibada). Anayetoa kwa nia ya kukubalika mbele ya jamii atafanya kila njia kile anachotoa kionekane. Anayetoa kiibada (uislam na ukristo zote zina ibada ya kutoa) atatoa bila mbwembwe na huenda kwa kificho. Kuna watu leo hata wakitoa sahani ya wali wataalika media. Hata hivyo mi nimeshuhudia shule ambayo baadhi ya vyumba vimejengwa na SS Bakhresa eneo furani jijini dar ambapo pia ana kiwanda cha kuoka mikate kwenye eneo hilo. lakini huyu ndugu pia kuna raia wanamsubiri kila siku kwenye vituo vyake vya biashara na anawapa cash ili wajikimu na maisha
Misaada kama hii uliyosema sio endelevu inazidi kuwafanya wabweteke. Msaada kama huo wa kusaidia shule kama anatoa hiyo ndio endelevu na pongezi kwake.kuna raia wanamsubiri kila siku kwenye vituo vyake vya biashara na anawapa cash ili wajikimu na maisha