Mleta Uzi Na Wenzio, Msijitoe Ufahamu Humu, Japokuwa TWAWEZA Yenu Imesema Wanaoipenda Na Kuichagua CCM Ni Wale Wasio Na ELIMU Kabisaa Na Wenye ELIMU Ya CHINI!! Hasa WANAWAKE WAISHIO VIJIJINI!!! Na Wenye ELIMU Kubwa, Ndio Wenye Maslahi Nayo!!! Hivi Magufuli Akiwa Kule CHATO, KAHAMA, GEITA, S/ NGA MJINI, Ile LUGHA Ni Kabila Gani?? Si Tumeona Live Wakihutubia WATANZANIA Wa Maeneo Hayo Kisukuma, Tena Kwa Kuwananga Wapinzani Wake,!!??
Hilo Kwenu Ni Sawa!!!! Ingawa Liko Wazi Tena Hadharani Halina Shida, Cha Hata NEC Na Msajili Wa VYAMA Wako Kimya Na Ninyi Mnaoleta Uchoko Humu!!! Yaani Mwaka Hatadanganyiki! Kama Miaka 90 Mwishoni, Mlipoona CUF Iko Juu Bara Na Visiwani!! Mkazusha Kuwa Eti CUF Ni CHAMA Cha Kidini, Coz Viongozi Wake Karibia Woote Wa JUU Ni Waislam!! Hivyo Ni CHAMA Cha Kiislam!! Mkaenda Mbali Zaidi Mkasema Pia Ni CHAMA Cha Kigaidi, Ambacho Kinafadhiriwa Na BAADHI Ya NCHI Za KIARABU!!
Na Mkuishia Hapo Mlipoona WATANZANIA Hawawaelewi, Mkasema CUF Wameingiza Nchini Makontena 2 Ya Silaha Za Jadi, Majambia, Mapanga, Bakora, Visu Na Mashoka!! Lengo Kuu Kuja Kuanzisha VITA!! Na Kusema Yamekamatwa Pale Bandari Ya Dar!!
KWELI Kwa Propaganda HIZO CHAFU, ZENYE UCHOCHEZI Wa Kidini!! WATANZANIA Wakaogopa!! Hasa Baada Ya KUONA BAADHI Ya Viongozi Na Wanachama, Pia Wale Wafuasi Wa UKWELI Wa NGANGARII Wakianza Kukamatwa Na Kubambikwa Makesi!!! NDIO IKAWA Mwanzo CUF Kuanza Kuporomoka Kisiasa Na CCM Kushinda Kirahisi!! Ingawa Visiwani Hakuweza, Kilichotokea Zanzibar History Yake Yajulikana!!! Sasa 2015 MMEKOPI Yale Yale Ya Hiyo, Coz This Time Upinzani Uko JUU Tena!!
Mnadhani WATANZANIA Wale 1995- 2000!! Ndio Kizazi Kile Kile!! Mmesahau Kuwa Wale Walikuwa Ndio Kwanzaa Wameingia Ktk. MFUMO Wa VYAMA VINGI Na WENGI Wao ELIMU Yao Ilikuwa Std 7 Na Form 4!!
Hivyo Mlipokuwa Mkiwaonyesha Sinema Za Vita Vya Mauaji Ya Rwanda, Burundi, Kongo Na Hata Vita Vya Uganda Walikubali Na KUOGOPA Kuchagua Wapinzani, Kwa Kuikubali Hoja YENU, Kuwa Wataleta Vita Kama HIVYO!!! Hawa WATANZANIA Wa 2015, Ni TOFAUTI SAANAA, Ndio Maana Mgombea Urais WENU Alipotaka Kuwatisha Kwa Kutoa Mif. Ya Libya Na Kusema Rais Wake Saddam Hussein Walimuawa!
Walipojaribu Kujisahihisha Ndipo Wakaonyesha Diplomasia Ya Nje Tatizo Kubwa Kwake, Aliposema Eti, RAIS Wa Libya Ni Gaddaf Na Saddam Hussein Alikuwa Rais Wa Kuwait, WATANZANIA WAKAMWAMBIA Hilo Sio KWELI Bhana!!
INGEKUWA Zamani WATANZANIA Wangeshangilia Tu!! HIVYO Propaganda ZENU Za UDINI, UKABILA, UCHOCHEZI, UZUSHI Na UKANDA!! This Time Mmebugi Mbaya!!!!