Regina Lowassa na ukabila kwenye kampeni

Regina Lowassa na ukabila kwenye kampeni

Godbles Lema amewai kumtaja kinala wa udini hapa Tz alimtaja bungeni,hatukuona serikali inakanusha,hivyo jibu mnalo!
 
Regina Lowassa mke wa mgombea urais CHADENA wiki iliyopita alijikuta akirudia makosa yanayokemewa na wanaolitakia mema Taifa pale alipofanya kampeni za ukabila wakati akiwaomba kura wanawake wa mjini Moshi.

Akiwa kwenye viwanja vya uhuru park kuzungumza na wanawake wa chadema aliwataka kuwasiliana na ndugu zao kokote waliko na kuwahimiza kumpigia kura mzee.

Alisema "wewe una ndugu yako Mtwara,una ndugu yako Lindi mwambie atafutekura zake kule.Najua kuwa ninyi mna ndugu zenu sehemu nyingi maana hata kijijini kwetu wachaga wapo"Hii ina maana kwamba aliwataka wachaga kuwasiliana na wachaga wenzao kokote waliko na kuwahamasisha kumpigia kura Lowassa.

Gazeti la Raia Tanzania Toleo Na 0482

Watanzania wote ni ndugu moja - kauli za wanaccm.
 
ametumia neno ndugu" wachaga umeliweka wewe, watu wa moshi wameoa na kuolewa na makabila tofati tz, hao wote ni dugu
 
Lowassa na familia yako nchi ikiyumba machozi ya watanzania yatawalilia hata huko mtakapokuwa.
 
Hamtaweza kutugawa tena,miaka ya nyuma ndio ilikuwa janja yenu kila mkibanwa!Lowassa ndio habari ya mjini
 
Akienda Tarime awambie wakurya pia wamtafutie kura kwa ndg zao tz nzima akienda mwanza na shinyanga wasukuma vivyo hivyo na kwingineko tz mwisho anakuwa kawaomba kura makabila yote kwa wilaya na mikoa yao finally Lowassa anakuwa ni rais wa makabila yote, dini zote na watu wote TZ. Uongo? au mnataka kuleta ufa maji wenu tu hapa.
 
Kumfikishia ndugu ujumbe kuna ubaya gani. Na ukumbuke kuwa sio wote wanaoishi Moshi ni wachaga. Kuna kabila zote ambazo unazijua wewe hapa Tanzania zinaishi Moshi.
Mwaka huu kila mbinu imebuma
 
Back
Top Bottom