Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Mimi ni msukuma na mkatoliki, nitampigia kura Lowasa mmasai na mluteri tena mwenye mke mchaga. Sitampigia kura yule wa kanda yetu ya ziwaWatu tukisema Lowassa na mkewe Regina wana ukabila na udini watu wanabisha.Asante kuweka ushahidi.Wanataka kura za wachaga na walutheri
Sioni kama ni ukabila kwa kauli yake hiyo, hajasema mumchague kwa vile ni mchagga au kutoka Kaskazini bali amesema mtandao wa wachaga ni mkubwa hivyo waliokuwepo kwenye mkutano ambao kwa kiwango kikubwa ni wachaga watumie mtandao huo kupiga kampeni ili mume wake ashinde. Waandishi hao ni wakurupukaji, wasifikili kutengana katika nchi hii kukitokea wao watanusurika labda kama ni Wanyarwanda kama alivyo bosi wao 'Field Marshal World".
Regina Lowassa mke wa mgombea urais CHADENA wiki iliyopita alijikuta akirudia makosa yanayokemewa na wanaolitakia mema Taifa pale alipofanya kampeni za ukabila wakati akiwaomba kura wanawake wa mjini Moshi.
Akiwa kwenye viwanja vya uhuru park kuzungumza na wanawake wa chadema aliwataka kuwasiliana na ndugu zao kokote waliko na kuwahimiza kumpigia kura mzee.
Alisema "wewe una ndugu yako Mtwara,una ndugu yako Lindi mwambie atafutekura zake kule.Najua kuwa ninyi mna ndugu zenu sehemu nyingi maana hata kijijini kwetu wachaga wapo"Hii ina maana kwamba aliwataka wachaga kuwasiliana na wachaga wenzao kokote waliko na kuwahamasisha kumpigia kura Lowassa.
Gazeti la Raia Tanzania Toleo Na 0482
huyu jamaa amejidhalilisha sana,amekuwa icon ya unafiki na uchu wa madaraka,atajuta sana baada ya october

Kwanza yeye mrangi mume wake sio mchaga