Regina Lowassa: First Lady Mtarajiwa

Regina Lowassa: First Lady Mtarajiwa

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
1978630_538246179684413_7793453998719779895_n.jpg


12039610_538246199684411_1389716546359603369_n.jpg


12037967_538246226351075_7633317678913609934_n.jpg


12039531_538246269684404_3658281403166018368_n.jpg


12072673_538246309684400_7691402336273910114_n.jpg


12049401_538246456351052_3497167066147539_n.jpg


12033049_538246386351059_2598689346653012606_n.jpg
 
Dah.......huyu Mama anazidisha kura za LOWASA, hili halina mjadala.....nakumbuka kauli ya Eddy Griffin yule comedian wa Mmarekani alisema kwenye moja ya show zake kuwa alivote kwa Obama sababu Michelle, ndio ninachoona kinakwenda kutokea hapa Bongo.
Mama anatia hamasa ya sisi kumfanya first lady ajae.
 
Huyu mama bdo mbichi sana. A first lady 2be. Namkubali sana

Mkuu moyo ukiwa na amani ndani huzeeki, umri unaenda lkn bado unanawiri.....si unamuona hata Mzee Lowasa na jinsi wananchi walivyompokea kwa furaha na moyo wa imani naiona kabisa hii familia ikienda kuwatumia wananchi ipasavyo.
Sokoine karudi kwa style nyingine........
 
Mama katka ubora wake, ccm lazma watoke
 
Watanzania tutajutia sana kama tusipompeleka huyu mama Ikulu.... Kwa miaka 10 WAMA haijafanya lolote zaidi ya kupiga pesa za wafadhili wa ulaya...

Safari hii tupeleke firts lady atakayeweza kuungana na wanawake wenzake katika mapambano ya maendeleo
 
Tutampa Lowassa kura za ndio bila shida yoyote, hongera mama, mungu akutunze na akupe afya na nguvu.
 
Chondechonde watanzania zimwi likujualo halikuli likakumaliza. Huyu mama ndio tinayemuona kila siku kwenye hizi harakati. Ndio mwenzetu ati
 
Chondechonde watanzania zimwi likujualo halikuli likakumaliza. Huyu mama ndio tinayemuona kila siku kwenye hizi harakati. Ndio mwenzetu ati

hapo umesema kweli mkuu na hakika huyu mama pamoja na mumewe ikulu inawahusu ifikapo October
VIVA UKAWA!!!
 
tutalaniwa kumpeleka mtu asiyeweza kuisimamia taasisi ya familia vema. haiwezekani kila siku tunaambiwa ana mke mmoja na watoto kadhaa as if hawajulikani.

first lady mwenyewe hana mpango hata wa kuitafta u first lady.

ukimpa mtu asiye na mke, ikulu itakuwa danguro
 
Nafikiri hii familia imejaa roho ya Mungu na ndo sababu wanatukanwa lakini wameziba masikio. They're really in business.
 
Back
Top Bottom