Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
mada hii ni habari mchanganyiko au kwenye pongezi angekosea sana angeiweka kwenye celebrity. Ila habri mchanganyiko ndiko mahali pake.
Hivi hapa kuna hoja yeyote ya siasa? au Angalia hata comments 34 zilizopita kama kuna comment ina ideology yeyote sa siasa
teh teh teh
Sikuwahi kumuona tofauti na avatar yake hapa jf!
Nimemfahamu kupitia jf,na nilipojua anagombea ubunge,....to me she was and still is a hero!
Leo pale mabibo,nilitamani sana kumuona baada ya kujua atakuwepo pia!
Ilipofika mda wa zitto kumuita jukwaani nilishangazwa na swali alilo muuliza
"Utaweza kupanda hapa?" sikujua kwa nini,nilihisi labda kwa kuwa ni parefu sana!
Alipo panda na nikamuona,Sikuwahi kujua hali yake.
Kwa jinsi nilivo muona,.......REGIA MTEMA NI MWANAMKE JASIRI MWENYE UWEZO WA KUTHUBUTU NA NI MFANO WA KUIGWA KWA WAMAMA WOTE!
Am proud of you Regy....
Punguzeni minyukano humu unnecessarily
mada hii ni habari mchanganyiko au kwenye pongezi angekosea sana angeiweka kwenye celebrity. Ila habri mchanganyiko ndiko mahali pake.
Hivi hapa kuna hoja yeyote ya siasa? au Angalia hata comments 34 zilizopita kama kuna comment ina ideology yeyote sa siasa
teh teh teh
Namkubali sana Regia pia,ni kiongozi mwenye uchungu na watu wake,msikivu,mnyenyekevu na jasiri.
Nafurahi kuona amepambana kufika alipofika,anastahili na kweli ni mfano wa kuigwa na kinadada na kinamama.
Mungu azidi kumwinua,atuwakilishe vizuri na 2015 ashinde Kilombero awatumikie zaidi wananchi anaowapa kipaumbele.
Regia sasa ni Mwana siasa. Na alikuwa kwenye Jukwaa la SIASA.
Unataka aweke wapi? Shy, acha kujifanya na wewe umekuwa KIRANJA ahhh Kiranga.
U-Kuhani si wa kuiga. Inabidi tu uwe hivyo siku zote na watu wakuzoee.
Speaker, usitishike na mtu hapa.
Regia ni kweli kabisa, katuaibisha hata sisi watani wake wa Sikonge.
Mie jamani pamoja nakuwa nakubaliana nanyie kuhusu sifa za Regia...lkn mimi namzimia mno hakyanani! yaani ananvutia mno hasa ile staili yake ya nywele kunyoa kawida inanifanya nione hana makuu hata nyumbani. hivi ameolewa jamani?
nadhani mnataka kuwatoa KIRANGA na NYANI NGABU machimboni,
Mzizi, huwa sitetei kesi za mafumanizi. Sasa unachotafuta shauri yako! Mimi sijawahi kujiuliza kama ameolewa au la, wewe umethubutu! Kila la kheri na kuthubutu kwako![/QUOT
Mkuu nikweli nimefika bei, ngoja...siku nikija kuonana nae ntamuuliza ikiwacameolewa au la, then ntajua pa kuanzia
i salute you regia
Sikuwahi kumuona tofauti na avatar yake hapa jf!
Nimemfahamu kupitia jf,na nilipojua anagombea ubunge,....to me she was and still is a hero!
Leo pale mabibo,nilitamani sana kumuona baada ya kujua atakuwepo pia!
Ilipofika mda wa zitto kumuita jukwaani nilishangazwa na swali alilo muuliza
"Utaweza kupanda hapa?" sikujua kwa nini,nilihisi labda kwa kuwa ni parefu sana!
Alipo panda na nikamuona,Sikuwahi kujua hali yake.
Kwa jinsi nilivo muona,.......REGIA MTEMA NI MWANAMKE JASIRI MWENYE UWEZO WA KUTHUBUTU NA NI MFANO WA KUIGWA KWA WAMAMA WOTE!
Am proud of you Regy....
Lets respect sex please, lets describe her as a "Heroine" and not" Hero2
mambo ya watani wa jadi!Hapo kwenye RED nimejitahidi kusoma na kurudia mara kumi, lakini sijaelewa kitu, labda mimi nina matatizo au wewe ndio tatizo zaidi. nitashukuru kama nitapata ufafanuzi.