Regia Mtema kuzikwa Jumatano Ifakara

Regia Mtema kuzikwa Jumatano Ifakara

PATOXIC

Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
63
Reaction score
34
Marehemu Regia Mtema anatarajiwa kuzikwa Jumatano tarehe 18/01/2012 huko Ifakara nukuu kutoka John Myika. Naomba kuwasilisha.
 
Alale pema peponi..tunatumaini tutapata wawakilishi
 
r.i.p jemedari wa ukweli m/mungu kakupenda sana siyo roho inaniuma sana kwa kuondoka kwako ghafla
 
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
Msiba Mkubwa sana! R.I.P. Kamanda umetangulia mbele ya haki. Jf Arusha kupitia kwa Mzee wa Rula fanyeni hima kuhamasisha michango ya rambirambi ikusanywe mapema iwezekanavyo.
 
R. I P. my leader
mungu aipokeee roho yako na kuiweka mahali pema peponi
 
Bado itanichukua muda mrefu kukubalina na huu ukweli. Sura inanijia machoni kila nikimkumbuka. Siku tuliyokaa nae alipokuja Arusha hainitoki akilini. Story na ucheshi wake unanirudiarudia kila ninapoziona thread zinazomuhuzu.

Kweli huu msiba umeniumiza sana. Nashindwa hata kupost kwenye baadhi ya thread maana akili haijakubaliana na habari za msiba huu! Napata shida sana ndugu zangu. Ni basi tu!

Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwaamani, amina!

Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa aman, amina!

RIP dada yangu Regia Mtema!
 
RIP kama inawezekana wabongo tukodi gari tukamsindikize. wakuu andaeni mtujuze twende.
 
R.I.P Regia mtema.pls I confirm to attend.I hope to be in moro tomorrow from simanjiro where I have postponed my trip to attend the burial of our beloved Regia.
 
Kapumzike dada,2nashukuru kwa ushrikiano wote ulio2onyesha watanzania,TANGULIA 2KO NJIANI 2NAKUJA
 
Back
Top Bottom