Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
Wanadau wa JF na wa RMF
1. Nashukuru kwa wale wachache ambao mpaka sasa wamekuwa active katika kutoa maoni yao na michango kwa njia mbalimbali. Ikumbukwe kuwa baadhi yetu humu tumekuwa kimya kabisa au ni wachangiaji wazuri lakini kiutendaji imekuwa tatizo. Mimi kama moja wa viongozi naona hali hii si nzuri lakini ndo hivyo tena, Uongozi ni Utumishi. Hakika walio wengi walioahidi mpaka sasa hawajatoa michango yao na hili ni tatizo. So, watakaoweza kutoa tutashukuru lakini watakaoshindwa itabidi tufanye assumption kuwa hatutapata tena michango yao na hivyo tutasonga mbele.
2. Kitabu cha kero kilishatoka kama draft na baadhi ya wadau waliopewa walitoa maoni yao. Kwa sasa tayari tumewaelekeza Editors wasonge mbele na kuchapisha kitabu kwa kuzingatia maoni yaliyotolewa. Tunahitaji michango yenu kipindi hiki kuliko wakati wowote. TZS 1 Milion inatakiwa kuchapisha copies takribani 1000.
3. Biography imekamilika na draft tumeletewa. Natoa rai kila kila anaeyeweza na kupenda kuipitia draft apite ofisini kuchua hiyo draft akiwa na flash maana file ni kubwa 189 MB. Au unaweza kuwasiliana na Remija ambaye pia ana soft copy. Tunapeana muda wa wiki mbili kupitia na kutoa maoni ya mwisho kabla ya kuendelea. Draft kwa kweli ni nzuri sana na inatia moyo. Tutahitaji pia kiasi cha Shillingi kama Milion10 kuweza kuchapisha Biography ya ubora uliokusudiwa. Tunaomba michango yenu.
4. Kuna hoja mezani kuwa tarehe 14 January 2013 au siku karibu na hiyo ifanyike kumbukumbu ya Regia Mtema. Katika siku hii tukutane British Council na kutakuwa na maada mbalimbali zitakazojadiliwa kama alivyozisimamia Regia and pia kutafuta Way Forward. Katika siku hii maalumu wageni na wadau mbalimbali wataalikwa.
5. Tumeanza kutengeneza tovuti ya RMF. Kama kila kitu kikienda sawa basi kuna uwezekano katika Regia Day tukafanya yafuatayo:
a. Mijadala mbalimbali
b. Kuizindua RMF
c. Kuzindua Tovuti
d. Kuzindua Kitabu cha Kero
e. Na kama kitakuwa tayari; kuzindua Biography
Kwa heshima na taadhima kama kuna mwenye maoni ya kuboresha na kuelekezana kwa maana ya kuleta mafanikio zaidi tunaomba tuweze kupata maoni yake.
Wasalaam
Sanctus Mtsimbe
Mwenyekiti RMF