Lucky dube pia huwa nasikiliza ngoma zake
Lucky Dube ni kiwango Cha Justin KalikaweLucky dube pia huwa nasikiliza ngoma zake
Alafu kuna Uzi niliona humu wakijaribu kuwalinganisha Bob Marley na Lucky Dube
Au hata Innocent GalinomaLucky Dube ni kiwango Cha Justin Kalikawe
Muziki "haufanywi"Labda nikiri tu kwa upande wangu hasa katika mziki wa reggae nimekuwa nikimsiliza zaidi legend Bob Marley
Kutokana na mziki anaofanya kuwa na messages nzuri sana
Sasa wakuu ukiachana na Bob Marley
Je ni wasanii au ngoma zipi nyingine za Reggae ambazo nazo ni nzuri hata ukisiliza hauchoki kabisa
Itakuwa vizuri kama utanitajia jina la msanii na wimbo wake
Tuko pamoja kwa Dube.lucky dube