Regency Hospital jirekebisheni tafadhali, mtatuua

Regency Hospital jirekebisheni tafadhali, mtatuua

Asanteni kwa taarifa

Ilikuwa niende kesho nimeghairi

Nitaenda hospital nyingine tu
 
Mnaeza mkawa mmezidiwa sana na idadi ya wagonjwa, lakini isiwe sababu ya kutokea kwa uzembe wa hatari ambao unaweza ukahatarisha maisha ya watu. Kumekuwa na mchezo wa siku nyingi kwenye maabara yenu wa kuchanganya majibu ya watu. Inaumiza na kuuzi sana kuambiwa hauumwi kisha kujiondokea zako kumbe ugonjwa upo na unaendelea kukutafuna zaidi mpaka hali inakuwa mbaya sana kisa umepewa majibu ambayo siyo ya kwako.

Natumaini kupitia mtandao huu ujumbe utafika.

Jirekebisheni Tafadhali.

Sasa naanza kupata picha, nilitaka kupoteza mwanangu hapo, Mtoto hakulala usiku kucha nimefika hospital asubuhi sana, matokeo yake naambiwa Mtoto hana tatizo, ikabidi nitoke nae hadi Burhan Charitable Hospital kupimwa Mtoto ana malaria ikabidi alazwe maana hali ilikuwa mbaya
 
Back
Top Bottom