Reflexology

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Nimeisikia hii aina mpya ya matibabu, nasikia kwamba wanatibu kwa kugusa baadhi tu ya sehemu za mwili.
Naomba anayefahamu sehemu yoyote Dar ninayoweza kupata tiba hii anisaidie
 
Kiranja Mkuu hata mimi naihitaji. Umepata mafanikio?
 
Reflexology duuh tabu kuipata huku kwetu, huu utamaduni wa hawa ndugu zetu wa macho madogo. Ukijua wapi inapatika in TZ let me know
 
Nimeisikia hii aina mpya ya matibabu, nasikia kwamba wanatibu kwa kugusa baadhi tu ya sehemu za mwili.
Naomba anayefahamu sehemu yoyote Dar ninayoweza kupata tiba hii anisaidie

Nenda kwa Wachina pale Aroma Tabata,wana matibabu ya aina hiyo,nina mtu ninayemfahamu ambaye alitibiwa na kupona kwa matibabu hayo.
 
Reflexology duuh tabu kuipata huku kwetu, huu utamaduni wa hawa ndugu zetu wa macho madogo. Ukijua wapi inapatika in TZ let me know

Hiyo course ipo Tz mkuu! Mama yangu ni moja ya walioisoma na anaifanyia kazi, pale Arusha Ngaramtoni kuna nyumba ya masista inaitwa Mapambazuko School
Of reflexology, kwa info zaidi waweza kuni-pm mkuu
 
Back
Top Bottom