Referendum for Zanzibar Independence

Referendum for Zanzibar Independence

Lakini sisi wapemba pia tunataka kisiwa chetu hatutaki kutawaliwa na waunguja daima.....

Tunaomba katika referendum hiyo watuulize wapemba kama tunataka kubaki na waunguja

Sisi wapemba hatutaki unafiki, zanzibar Kwanza, upemba ndio silaha yenu watanganyika kuwagawa wazanzibari ili mututawale vizuri.
Ikiwa wewe mpemba kwenu wapi hasa?
 
Wapemba wako strong tatizo mapenzi yao kwa maalim yana cloud vision yao
 
give it 24 hrs max[/QUOTE]

and this is what it has produced.
CSZiIawWIAAygAb.jpg:large
 
Nyie hamjui kuwa zanzibar ni mkoa wa tanzania? Shein ni kama makonda tu, ni mkuu wa mkoa.
 
Nyerere ndiye alimdanganya Mangi Kilimanjaro ikaungana Na tanganyika.

Kilimanjaro lilikuwa taifa lenye uongozi wake Na bunge lake.
 
Pepo la utengano linapita duniani muda huu LISHINDWE KWA JINA LA YESU KRISTO.
 
Wakati muafaka huu,zanzibar imekuwa ikitumiwa kama ngazi ya CCM kuendelea kutawala pande zote za muungano wa kimagumashi bila idhini ya wananchi
 
maalim kakimbia nchi

wanadai kaalikwa na Hillary Clinton kwenye DNC

These guys are a bunch of jokers
 
naendelea kupita tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom