Referee Kefa Kyombo yupo kuipa Simba matokeo ya utata

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,825
Reaction score
39,731
1. Mwamuzi Kefa Kyombo ndo alimaliza mpira mechi dhidi ya Simba na Coast union kwenye sare ya 2_2
Coast union walikuwa kwenye shambulio la kufunga goli, katika hali ya kustajaabisha Kefa Kyombo akauwa shambulio na kumaliza mechi

2 Kefa Kyombo alitoka penalty ya utata Kwa Mpanzu mechi dhidi ya Simba vs Tabora United

3 Kefa Kyombo ndo aliwapa Simba penalty ya utata dakika za mwisho
Mechi ya Simba vs JKT Tanzania

4 Kefa Kyombo amefanya kituko Leo mechi yasimba vs Mashujaa
Akiwapa penalties 2 za utata
Na kumpa red card ya utata goli kipa
Muda wa nyongeza dakika 24πŸ˜­πŸ˜‚

Karia na TFF yake wameamua kuwapa Simba ubingwa kibabe
 
Acha upumbavu wewe yule refa aliyechezesha mechi ya simba na coastal siyo huyu, kama umeweza kudanganya kwenye hilo la kwanza basi pengine hata hayo mengine umedanganya, lete ushahidi kwamba refa huyu ndiye aliyechezesha hizo mechi zote ambazo simba walipata penati.. halafu shida siyo penati shida ni je hizo penati ni halali au si halali hivi huwa mnaangalia mpira kweli au kwa vile wanapewa simba basi ndio zinakuwa siyo halali!!
 
Una tatizo kichwani
Kila ninachokiandika hapa jua nimefanya utafiti wa kutosha
Ndo maana wewe umeamua kuwa shabiki yangu na kufatilia maandiko yangu mara Kwa mara
 
Wanawake huwaga ni wale wapole
 
hamna refa hapo ujinga mtupu tuendelee kuangalia ulaya tu mipira, haya ya huku tumuachie karia na genge lake
 
4 Kefa Kyombo amefanya kituko Leo mechi yasimba vs Mashujaa
Akiwapa penalties 2 za utata
Na kumpa red card ya utata goli kipa
Muda wa nyongeza dakika 24πŸ˜­πŸ˜‚View attachment 3322957
Huwa napenda mtu anayekuwa specific:
1. Penati ya kwanza ubatili wake ni ...
2. Kadi nyekundu ubatili wake ni ...
3. Penati ya pili ubatili wake ni ...
4. Dakika 15 za nyongeza ubatili wake ni ...

Sipendi mtu anayeongea kwa ujumla jumla
 
Nani aliewatuma mashujaa kupoteza muda na kua na nidhamu mbovu uwanjani. Pumbavu. Mfano ateba angekosa penat zote leo mngekua mnaongea haya? Hadi mtoe machozi ya damu mwaka huu.
 
Penati ya utata ndio penati gani?

Maelezo kama haya ndio yaliyomfelisha na Simon Patrick huko CAS mpaka kaangukia pua.

Naskia mbele ya mahakama Simon Patrick alisema "TFF imeahirisha mechi kwasababu zenye utata"

Ndio maana mwamuzi wa kesi akaona ni ujinga na kuamua kuifuta.

Sasa kupitia malalamiko yako nenda tena kwa Simon Patrick kabla hajapoa mwambie kwa scenario hii hakuna namna mnaweza kuipoka alama Simba mkienda CAS.

Mfate saizi akiwa bado wamoto wamoto.

Nb "Maji yaliyotulia ndio yana vyura wengi"
 
Tutaelewana tu . UBAYA UBWELA
 
Heee! Goli limefungwa dakika ya 24 ya nyongeza!! ziliongezwa dakika ngapi?
 
Heee! Goli limefungwa dakika ya 24 ya nyongeza!! ziliongezwa dakika ngapi?
 
Ndo maana mkikutana na Pdidy Young Africans Huwa anawapiga 5
Na kuwafunga mara nne mfululizo na kukimbia mechi maana mechi ya Yanga waamuzi Wanachama wa Mangungu Huwa hawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…