Refa yanapomkuta yakumkuta!

Refa yanapomkuta yakumkuta!

MDAU JR

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
452
Reaction score
82
Refa akiwa chali baada kula boot kutoka kwa Luisao wa Benfica.

Portuguese giants Benfica will be reported to UEFA after their captain Luisao floored the referee in their friendly match against Fortuna Dusseldorf on Saturday. The game was stopped after the first-half incident.
 
Attachments

  • REFA.jpg
    REFA.jpg
    57.9 KB · Views: 175
Kaka maneno hayo!!! Yatakuponza

Ni maneno au au maudhui yake kaka? hayo ni maneno ya kawaida tu ya kiswahili yenye maana ya kuwa hawakukuona yaani "they missed you" during that time of Kagame cup tournaments kwa kiingilishi ambacho nina imani ndo unakifahamu zaidi. Kaa humo.
 
Nikajua yaleyale ya ''kukalia Kigogo''
 
Duuh captain kaua bend...hapo watakula kifungo.
 
Back
Top Bottom