Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,902
- 155,999
Jana nilijionea tukio la kustaajabisha wakati Luis Fabiano akifunga goli la mkono.
Alishika mpira kwa mkono akawapiga kanzu mtu na kaka yake, mpira ukamzidi, akauvuta tena kwa mkono, kisha akausukuma mpira kimiani.
Baada ya hapo Refa akiwa ameongozana na Luis fabiano alionekana akimwambia kwa ishara kuwa goli lako ni la mkono, lakini nimelimezea kwa sababu tu naipenda Brazil.
Hivi refa kama yule anaweza akashitakiwa Fifa au ndio haki imeisha na dakika sitini zake?
Anaweza asimwambie hivyo exactly,kwanza hawaongei kiswahili,lakini it was obviously refa alikuwa anamaanisha hivyo.hahaha Bujibuji leo umenichekesha ulijuaje kama Refa kamwambia Luis F maneno hayo?
Anaweza asimwambie hivyo exactly,kwanza hawaongei kiswahili,lakini it was obviously refa alikuwa anamaanisha hivyo.
hahaha bujibuji leo umenichekesha ulijuaje kama refa kamwambia luis f maneno hayo?
ma refa bogus bwana ..............kaka kapigwa yellow ya pili ile bila sababu ya msingi
ujerumani nayo inalia na refa .....
new zealand pia inala na refa ......penalty ya Italia haikuwa na sababu
Marekani inalia refa kawanyima goli
Fainali zinachezwa afrika basi tena kila kitu kinakwenda kiafrika afrika tu
yule ni refa wa rugby.............
Kiongozi, nadhani hapo kwenye nyekundu ulitaka kuandika dakika tisini. For the sake of footballJana nilijionea tukio la kustaajabisha wakati Luis Fabiano akifunga goli la mkono.