Sasa ndugu yangu kwa Mfano kuna Injili ya Maria Magdalene...Injili hiyo inasema Yesu alioa na ana mke na mtoto...Inaendelea kusema kuwa Yesu alimuoa Maria magdlane...Sasa mkuu uzushi huo ndio ulifanya Injili hiyo ipigwe teke...Any way kuna njia mbalimbali zilipitiwa na wataalamu wa maandiko na kufikia uamuzi huo...
Mkuu mfano Injili ya Barnaba inadai Yesu hakuwa Mungu na Yesu alioa...Injili hiyo inapendwa sana na waoslamu..hivi kweli na wewe utaamini uzushi huo...??
Injili lengo lake lilikuwa ni kufikishaujumbe au kusudio lililo mleta Yesu Duniani...Sasa hizo injili zilikuwa za kishabiki, kusifia, kuonesha Yesu jinsi alivyokuwa akitembea, akila,...Hebu tazama mambo hayo yote, kweli yana mantiki na ujio wake...
Kulikuwa na Injili ya utoto wa Yesu...the Gospel of nativity...Injili hii ilikuwa inaonesha jinsi Yesu alipokuwa mdogo alikuwa akiwasaidia wenzake wasipigwe na wazazi wao pindi wachelewapo nyumbani, alikuwa anawaokoa wenzake na watoto wakorofi...Hebu tazama kweli..hayo hayakupaswa kuwepo maana yamekaaa kishabiki..hayana mantiki...